Baadhi
ya wadau na wapenzi wa filamu wakiwa uwanja wa ndege wakimsubiri
kumpokea Mshindi wa Tunzo ya Filamu bora ya Kiswahili Single Mtambalike
katika shindano la Africa Magic lililofanyika nchini Nigeria Mwishoni
mwa wiki
wapenzi wakisubiri mshindi
Familia ya Single Mtambalike
akipokelewa na familia
Mwakilishi
wa Proin Promotions.Josephat Lukaza akiongea na wanahabari kuhusiana na
filamu za Proin kunyakua tunzo hizo katika Kinyangiro cha
AMVCA2016.Picha Zote na Josephat Lukaza.
Comments