Kwenye kurudi kwake kwenye game la hiphop rapa LL Cool J ameweka wazi kuwa amefanya collabo na rapa Eminem.
LL Cool J anasema Eminem amesharekodi
sehemu yake kwenye wimbo huo, Kuhusu urafiki wao Ll Cool J anasema
hakumbuki vizuri mara ya kwanza kukutana na Eminem ila anaimani kuwa
Slim Shaddy ni mwanafunzi mzuri sana wa muziki wa hiphop.
Comments