Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikatibishwa Ofisini kwake na
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es
Salaam
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya
Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali
mbali ya Ikulu, Jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya mazungumzo na Katibu
Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam
leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo
Comments