Kwenye interview aliyofanyiwa mwaka 2015 rapa Will Smith alisema
“Nilianza kupenda na kutaka kurap nikiwa na miaka 12,nilianda kuandika
mashairi mwaka huo kwenye kitabu changu kidogo ”
Kwanini Will Smith hajawahi kutukana kwenye nyimbo zake ?
"Bibi yangu alikuta kitabu changu cha mashairi na kusoma baadhi y nyimbo zangu,hakusema lolote ina alichukua kitabu hicho na kuandika nyuma kabisa kwenye kurasa ya mwisho, Dear Willard ‘Truly intelligent people do not have to use words like this to express themselves. Please show the world that you’re as smart as you think you are’ akimaanisha watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hawatumi maneno kama haya kuelezea mitazamo yao, tafadhali onyesha dunia unaakili kama unavyofikiria".
Toka siku hio sikuwahi kupanga kutukana kwenye muziki wangu.

Comments