Skip to main content

Mjue mpenzi mpya wa Baraka da Prince


Baada ya kuwa na stori tofauti kusamba kwenye mitandao ya kijamii, imesemekana kuwa kwa sasa msanii wa mziki wa bongo fleva Baraka da Prince hayuko tena na msanii wa filamu Tanzania Nisher ila anatoka na msanii wa bongo Fleva Najma Aka Naj.
Baraka2
Haya ni maneno ya Barak Da Prince yaliyoambatana na Post ya kichwa cha mwanamke aliyelala naye.
Screenshot_2016-03-06-13-43-24
Screenshot_2016-03-06-13-43-34

Comments