Gigi Money anaishi maisha ya serikali yake mwenyewe, sheria zake mwenyewe na maamuzi yake mwenye
Gigi Money anaishi maisha ya serikali yake mwenyewe, sheria zake
mwenyewe na maamuzi yake mwenyewe.. kimsingi hadi kieleweke! Ndio maana
ameendelea kuwa controversial kwenye Instagram na watu wamemzoea hivyo
na hilo ndilo lililompa jina, hakuna kingine! Wiki hii ameamua kumwaga
radhi kwa kupost picha hizo chini.
Comments