Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2014

Ni Jiji la Mwanza

Mandhali poa  katika jiji hilo .

Kutoka hukoooo kwenye mitandao ya kijamii

Uganda yajitetea kuingia Sudan Kusini

Serikali ya Uganda imesema kupeleka wanajeshi wake Sudan Kusini na kujihusisha na mgogoro unaondelea huko Juba ipo chini ya mkataba kati ya serikali zao mbili. Siku ya Jumatatu, Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa baadhi ya wanajeshi wake waliuwawa na kujeruhiwa huko Sudan Kusini. Soma zaidi...

Mazungumzo ya Mashariki ya Kati kushindwa?

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry (kushoto), katika moja ya mikutano yake na Rais Mahmoud Abbas wa Palestina. Kuna wasiwasi kwamba Israel na Palestina zinajitayarisha kushindwa kwenye mazungumzo ya sasa yanayosimamiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, na hivyo kukabiliwa na hali ngumu zaidi . Soma zaidi...

Rwanda yet to name wanted refugees

By Moses Walubiri Government has quickly moved to refute reports that it’s already considering Rwanda’s request to extradite seven of its nationals enjoying refugee status in Uganda, clarifying that it’s yet to receive the names of the ‘wanted people.’ President Paul Kagame Rwanda, through its Inspector General of Police, Emmanuel Gasana, without naming names, recently requested the extradition of seven refugees it accused of committing a litany of crimes. State Minister for Refugees, Musa Ecweru, was earlier this week quoted by French News Agency (AFP) as saying that government is considering Rwanda’s request, implicitly indicating that Kigali had finally submitted the names of the wanted refugees. “Rwanda is yet to give us the names,” Commissioner for Refugees, Apollo Kazungu, said when asked about the AFP report, adding; “In any case, we will strictly abide by the laws and conventions governing refugees.” Kazungu said Rwanda will have to a

Obama aapa kuizunguka Congress

Rais wa Marekani Barack Obama ameapa kulizunguka bunge na kuchukua hatua kivyake ili kuwaimarisha watu wa tabaka la kati, akionyesha kukatishwa kwake tamaa na kasi ndogo ya kutunga sheria kwa upande wa bunge hilo. Rais Obama akitoa hotuba yake kuhusu hali ya taifa. Katika ujumbe wake kwa bunge la Congress kupitia hotuba yake ya kila mwaka kwa taifa, Obama aliahidi kuchukua hatua kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa usawa, hata ikimbidi kufanya hivyo bila uungwaji mkono wa bunge, huku akiwataka wabunge kuweka pembeni tofauti za kisiasa na kufanya kazi kwa maslahi ya raia na kulipeleka mbele taifa hilo. Rais Obama alisema nchi hiyo laazima iondokane na mawazo ya kupigana vita mara kwa mara ili kutoa fursa kwa diplomasia kutatua matatizo sugu ya ulimwengu, kama vile mgogoro wa nyukilia wa Iran. Obama pia alitoa wito wa kuchukuliwa hatua za dhati kuufufua uchumi wa Marekani, na kukabiliana na ukosefu wa usawa na kupanua fursa kwa raia wote wa taifa hilo.

WASOME WADADA WALIONASWA WAKIWA WAMEVAA MAKALIO FEKI ....

hapa wowowo ndio lmevaliwa.. tobaaaa!!! hapa linachungulia, afu huyu kama alicia keys!! ebu mdau wangu nisaidiee.. tobaaa!! wowowo la dada likaonekana eheheh... diiihhh!!! siongei kituwh!! huyu limempendeza eti eeh!! awww!!! dooh!! asa hili ukiwa unacheza taarab si linakuwa ata kutingisha alitingishiki?? unabaki kuwa na wowowo kama chuma vile..!! mwe!! hapa hips lilimgomea dada, likatokea hips moja ahahhah mwe! uthingidhiiiii!!!

DIAMOND NA WEMA KAMA KAWA..MREMBO WEMA SEPETU AONESHA ZAWADI ALIOPEWA NA DIAMOND KUTOKA NAIROBI

Soma hii mdau !!

NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu, Clement a.k.a CK, hivi sasa anadaiwa kutoka na shosti wa staa huyo, Naima Shaa. Naima Shaa. Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti namba moja la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda, Naima anatamba na kuwapiga vijembe wasichana wa mjini kuwa anatoka na CK mwenye mkwanja mrefu (bado fedha hazijaisha). “Nakwambia hatunywi maji, mtoto kadata kabisa hadi ameamua kujichora ‘tatuu’ ya jina la Clement  kwenye bega lake la kulia. Inahusu?” kilihoji chanzo chetu. Wema Sepetu. NI MTOTO WA MBUNGE Mpashaji huyo alizidi kuweka wazi kuwa Naima ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shaa (CCM) hivi sasa anaonekana na mdogo wa CK huku wakiitana shemeji wa ukweli. “Sasa hivi jamaa anajilia vyake mdogomdogo kwa mtoto Naima pale kati, naona ameamua kumalizia machungu ya Wema kwa Naima. “Unaambiwa nyuma ya pazia stori n

Rais Catherine Samba-Panzi aapishwa

Mashahidi wanaripoti uporaji mkubwa wa mali katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, huku kaimu rais mpya akianza rasmi kazi yake. Kwa mujibu wa SAuti Amerika maelfu ya watu walipora mali katika eneo linalojulikana kama PK13 lenye wakazi wengi Waislam. Majeshi ya Rwanda yaliwafukuza waporaji, lakini uporaji ukaanza tena baada ya walinda amani hao wa Rwanda kuondoka, kulinda sherehe za kuapishwa kwa kaimu rais mpya. Rais huyo mpya wa muda Catherine Samba-Panza, ametoa mwito wa utulivu wiki hii kabla ya sherehe za kuapishwa kwake, ambako kumefanyika katika majengo ya bunge leo Alhamis. Chanzo: voaswahili

Mauaji yatikisa nchi ya Misri wakati ikiadhimisha miaka mitatu ya mapinduzi yaliyoangusha utawala wa Hosni Mubarak

Waandamanaji wanaounga mkono serikali ya mpito  wakiwa na picha za Mkuu wa Jeshi, Generali  Abdel Fattah al-Sisi. Reuters/路透社 Na Flora Martin Mwano Takribani watu 29 wameuawa katika ghasia baina ya waandamanaji na polisi nchini Misri wakati Taifa hilo likiadhimisha kumbukumbu ya miaka mitatu ya mapinduzi yaliyoangusha utawala wa Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak. Wizara ya afya imesema watu wengine 168 wamejeruhiwa kutokana na ghasia hizo. Wakati ghasia hizo zikiendelea kwenye maeneo mbalimbali ya Misri, jijini Cairo katika medani ya Tahrir wafuasi wa serikali ya mpito waliendelea kushangilia miaka mitatu ya mapinduzi na kubeba mabango yenye ujumbe wa kumuunga mkono Mkuu wa Jeshi Generali Abdel Fattah al-Sisi ambaye huenda akawa Rais ajaye wa Taifa hilo. Polisi walikabiliana nawaandamanaji wa kiislamu wanaopinga serikali ya mpito ya kijeshi huku wakimuunga mkono Rais aliyepinduliwa mwezi Julai mwaka jana Mohammed Morsi. Hali ya usalama imez

MTANDAO WA KUMTOA JACK PATRICK WAUNDWA, JUX ATAJWA

N a Erick Evarist FAMILIA ya modo wa Bongo, Jacqueline Patrick aliyenaswa kwa msala wa madawa ya kulevya Macau- China inadaiwa kuunda mtandao kwa ajili ya kufanikisha zoezi la kumchomoa mrembo huyo mikononi mwa vyombo vya sheria. Jacqueline Patrick. Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na familia hiyo (jina lipo), familia hiyo imeanza mchakato huo hivi karibuni hasa baada ya kudadisi kuhusiana na sheria za eneo alilokamatiwa (Macau) kutokuwa kali kisheria tofauti na maeneo mengine ya nchi hiyo kama Hong Kong. “Wameandaa mikakati thabiti kwani wamegundua Macau ni tofauti na maeneo mengine ya China ambayo ukikamatwa na madawa ya kulevya na kuthibitika kuwa na hatia, hakuna msalie mtume, ni kitanzi tu. Macau sheria zao si kali sana, wanaweza wakafanikiwa kumchomoa hata kwa njia za panya,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:   Jux. “Kinara wa mtandao huo ni Jux yule wanayesema ni mpenzi wake Jack ambaye kwa sasa yupo China. Ndiye ambaye juzijuzi hapa alipost
unazijua stress za wasanii wa Bongo? Kati ya vitu ambavyo kwa msanii wa hapa bongo anavyojali most,miongoni mwao ni ku-maintain status yao ya u-superstar,na moja kati ya vitu anavyotakiwa kufanya mtu kama star ni kufanya vitu tofauti kabisa na mtu wa kawaida . Kwa bongo muziki umekua ukianza kulipa na pale msanii anapopata pesa hivi ndio vitu ambayo msanii wa kibongo hupata stress from:- usafiri , Wasanii wa bongo h uu miza vichwa wanunue gari gani ili wawe kama msanii fulani au waongeze status yao. Kwa wale wasanii wadogo  stress zikizidi baadhi Yao hudiriki hata kukodisha magari ya Watu na kulipa kila mwisho wa mwezi,ili tu wasionekane wakipanda daladala,tu naweza kukubaliana kuwa si kila msanii hapa bongo anauwezo wakumiliki gari kutokana tu na mauzo ya Kazi zake,cause hata underground aliyetoka na ku-hit na nyimbo moja redioni utakuta naye anahangaika na Mishe za kutaka ku-maintain status. Mavazi , Usishangae kuona hata Nguo Watu wanagongea katika harak

TUPIA MACHO LIST YA TIMU TAJIRI DUNIANI HII HAPA,MANCHESTER UNITED WASHUKA NAFASI MOJA CHINI

  Manchester United have dropped out of the top three highest earning clubs in football's rich list for the first time, after being overtaken by European champions Bayern Munich. Real Madrid and Barcelona continue to lead the way in the 2013 Deloitte Football Money League, published on Thursday, while Manchester City move up to sixth, climbing above both Chelsea and Arsenal. DELOITTE MONEY LEAGUE - THE TOP 10 CLUB 1. Real Madrid 2. Barcelona 3. Bayern Munich 4. Manchester Utd 5. Paris Saint-Germain 6. Manchester City 7. Chelsea 8. Arsenal 9. Juventus 10. AC Milan 12-13 REVENUE £444.7m £413.6m £369.6m £363.2m £341.8m £271m £260m £243.6m £233.5m £225.8m The Premier League continues to consolidate its position as the dominant financial force in world football, with six teams in the top 20 (Manchester United, Manchester City, Arsenal, Chelsea, Tottenham and Liverpool), compared to four from Germany and Italy, three from Spain and one from Franc

SHEREHE YA MTOTO WA PETER WA P-SQUARE KUTIMIZA MWAKA MMOJA YAFANA

Peter and Lola Okoye's daughter, Aliona Okoye, turned one today.

TASWIRA ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA...SERIKALI YAIFUNGA BARABARA YA MOROGORO -DODOMA KWA MUDA USIOJULIKANA !

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao kukwama. Mafuriko yaliyopelekea daraja hilo kuharibiwa na maji. Hali ilivyokuwa jirani na eneo hilo. Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Mvomero, Morogoro usiku wa kuamkia jana imesababisha madhara makubwa ikiwemo kukatika kwa daraja la Dumila linalounganisha barabara za Morogoro na Dodoma na kusababisha safari za wananchi kukwama.