


HII
ni hatari. Wakati ugonjwa wa Ukimwi ukielezwa
kuwa bado hauna tiba, mcheza shoo maarufu katika bendi za muziki wa
dansi
nchini, Titi Mwinyi ameibuka na kudai kuwa wasichana hao wana wakati
mgumu
kukwepa vishawishi kutoka kwa watu wenye fedha, maarufu kama Mapedeshee.
Akaongezea na kusema Mapedeshe wengi hapa bongo ndio wanaongoza kwa
kuwa na gonjwa la ukimwi na wamekua wakitongoza wanawake ili
kuwaambukiza gonjwa hilo ambalo halina shida.Inatoka kwa mdau.
Comments