Skip to main content

STORI KUBWA ZAIDI MWAKA 2013 KWA WASANII WA NJE

 
EMINEM
AMEACHIA ALBAM YA MASHAL MATHERS LP 2..No 9 top selling album itune
1. "Bad Guy"
2. "Parking Lot" (skit)
3. "Rhyme or Reason"
4. "So Much Better"
5. "Survival"
6. "Legacy"
7. "A******" feat. Skylar Grey
8. "Berzerk"
9. "Rap God"
10. "Brainless"
11. "Stronger Than I Was"
12. "Monster" feat. Rihanna
13. "So Far..."
14. "Love Game" feat. Kendrick Lamar
15. "Headlights" feat. Nate Ruess
16. "Evil Twin"
-Amefanikiwa kuachana na madawa ya kulevya
KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN
-Kanye aliachia abam ya Yeezus,…
01. On Sight
02. Black Skinhead
03. I Am A God (Featuring God)
04. New Slaves (Featuring Frank Ocean)
05. Hold My Liquor (Featuring Chief Keef & Justin Vernon)
06. I’m In It
07. Blood On The Leaves
08. Guilt Trip (Featuring Kid Cudi)
09. Send It Up (Featuring King L)
10. Bound 2 (Featuring Charlie Wilson)
-Stori ya mapenzi yake na mwanadada kim kardashian ilivuma sana.ikiwemo yeye mwenyewe kuonesha mapenzi makubwa kwa mwanadada huyo star wa reality tv show ya keeping up with the kardashians
-Kapata mtoto North tarehe 18 June 2013
-Alimpiga paparaza mwezi July
MACKLEMORE NA RYAN LEWIS
25 August MTV  MVA:Best video with social message-Samelove,Best hiphop video-can’t hold us.Wamefanya show nyingi na kupata tuzo nyingi mbali na hizo za MTV
MILEY CYRUS
Alisherehekea siku yake ya kuzaliwa NOV 23,  ametimiza miaka 21 mwaka huu.Aliachia video ya wrecking ball,alifanya show ya MTV VMA ambayo aliperform na Robin Thicke wimbo wa Blurred lines. ALIACHIA documentary ambayo iLIwakilisha mambo kibao kuhusu yeye na muziki anaoufanya.mwanadada huyo alitaka kuwaonesha mashabiki nini anafanya baada ya kukaa kimya kwa muda.
Producer pharell ambaye ndo amesimamia mpango mzima amesema kwamba huu ndo ulikuwa mwaka wa kazi na mdogo wake huyo yani Miley na ulikua mwanzo tu wa vitu vikali zaidi.
Mwanadada Miley Cyrus aliachana na boyfriend wake Liam Hemsworth na badae kujiweka busy music kitu ambacho kinamfanya amsahau kabisa jamaa huyo

Alilezea kuwa na furaha kubwa katika maisha yake mbali na kuishi bila mpenzi na kufanya kazi zake za muziki kwa ustadi zaidi na ndiyo kitu kinachomfanya ku-hit zaidi katika game

Baada ya kufunguka kuhusu hili mtu wake wa karibu alitoa mtonyo kwamba mwana dada huyo kuwa anatoka na mpiga picha wa jarida la muziki la Rolling Stone Theo Wenner mwezi mmoja tu baada ya kuachana na Liam Hemsworth.
JAY Z NA BEYONCE
 JAY-Z-Ameachia albam ya magna carta holly grail…
1. Holy Grail (feat. Justin Timberlake) 
2. Picasso Baby 
3. Tom Ford 
4. FuckWithMeYouKnowIGotIt (feat. Rick Ross) 
5. Oceans (feat. Frank Ocean) 
6. F.U.T.W. 
7. Somewhere In America 
8. Crown 
9. Heaven 
10. Versus 
11. Part II (On the Run) (feat. Beyonce) 
12. Beach Is Better 
13. BBC (feat. Nas, Justin Timberlake, Beyonce, Swizz Beatz, Pharrell & Timbaland) 
14. Jay-Z Blue 
15. La Familia 
16. Nickels and Dimes

 -Jay-Z na Nas wakumbuka maisha yao baada ya ugomvi wa muda mrefu.Wakati albam ya Jay-Z ikiingia sokoni msanii Nas na Jay-Z kwa pamoja walionesha furaha ya kuwa kama marafiki baada ya beef yao ya karibu miaka mitano.

Uhasama wa muda mrefu kati ya Jay-Z na Nas ni moja ya vitu vikubwa sana vya kukumbukwa katika historia ya muziki wa hiphop

Battle na maneno ya chuki vilionekana katika moja ya ngoma zao ikiwemo Takeover ya Jay-Z ,Epic K.O ‘Ether’ ya Nas na zingine kibao ambazo kwa lugha rahisi kabisa ilionesha jinsi gani ambavyo legendary hawa walikua hawapendani

Mwaka 2005 Jay -Z na Nas waliamua kuweka tofauti zao pembeni ili maisha yaendelee na Nas kwa mara ya kwanza kumpa support on stage mtu mzima Jay-Z baada ya bif ilikuwa katika concert ya I declare war na wamekuwa wakishirikiana katika tracks zao kadhaA

BEYONCE

Super couples Beyonce Knowles Carter na Sean Knowles carter(beyonce na jay z) mwaka 2013 waliunganisha nguvu zao tena kuachia single ya pamoja iliyofahamika kama Part 2 on the run ambayo iilikuwa featured kwenye albam ya Jay-z ya Magna Carta Holy Grail.ilikayoachiwa July 4
 -13 Dec ameachia albam ya Beyonce .ndani ya albam hiyo amefanya collabe na Jay z katika ngoma ya Back to Business.albam yake imeshika nafasi ya pili katika mauzo mwaka 2013

Ngoma hii iilifuatia baada ya collable ya wawili hao mwaka 2003 katika ngoma ya '03 Bonnie & Clyde, track hii iliibua uvumi kwamba wawili hao walikuwa katika relation na baadae wakathibitisha katika collable yao nyingine ya wimbo uliokwenda kwa jina la Crazy In Love.


MARY J BRIGE
Feb 2013-Mary J. Blige alishtakiwa na benki ya marekani ,Bank of America.kwa kutokurejesha mkopo wa dola $500,000  sawa na sh.mil 800,000,000 za kibongo
Kwa mujibu wa Reuters benki hiyo ilishitaki katika  New York State Supreme Court. Jamaa walisema kwamba mwanamama huyo alichukua mkopo mwaka 2005 na aliacha kurejesha mwezi wa sita 2012.Benki hiyo ilitaka alipe $511,324 sawa sh. Mil 818,118,400 kama mrejesho wa deni hilo
Hiyo haikuwamara ya kwanza kwa superstar huyo mshindi wa tuzo za grammy mara 9 kushtakiwa kwa kesi kama hiyo,kwani Nov 2012 Signature Bank  iliibua tuhuma dhidi ya mwimbaji huyo na mme wake kwa deni la dola mil  $2.2  sawa na sh. Bil 3.2 za kibongo
Akiwa katika Impact Awards  zilizofanyika February mwaka huu katika hotel ya Sunset Tower ,Los Angeles, alifunguka kuhusu uvumi huo lakini hakutaka kuweka wazi juu ya ukweli kuhusu suala hilo na akaaishia kusema tu watu wanachonga sana kuhusu yeye. 
Mwezi wa pili alipewa tuzo ya heshima katika  Impact awards
SELENAGOMEZ
Amefanya vizuri katika muziki kuliko movie.Amepata tuzo ya video bora ya muziki wa pop wimbo wa Come and get it.Alibreakup na Justine Bierber
JUSTINE BIERBER
Mwezi wa kwanza alifumwa anavuta bangi,mwezi may alimtemea mate paparazi,Ariana Grande alidai kutumiwa sms zas mapenzi na Justine,amehit na believe tour.alikua na kampeni yaMusic Monday initiative ambapo kila j3 alikua akiachia track mwezi octoba
Alito brand ya perfume: "The Key."

 

ARIANA GRANDE

ALIACHIA albam ya yours for real ilishika nafasi ya kwanza katika chart mwezi wa 9.alipata tatizo la uvimbe kwenye koo lakini akapona na kurudi katika kazi kama kawa kama dawa
KATY PERRY

Ameachia albam ya prism.fans walizungumzia cover na video ya roar septemba. Ameachana na rusell brand mwezi octoba na kuanzisha mahusiano na John Mayor
2CHAINS
Amechia B.O.A.T  ME TIME albam ameshirikisha superstars wengi wa marekani
LADY GAGA

Producer wa muziki na mwimbaji Teddy  Riley ambae pia ashawahi kuwa member wa kundi la muziki wa Hip-hop la Blackstreet miaka ya 1990 alifungua mashtaka dhidi ya nyota wa muziki wa pop Lady Gaga(27) akidai kutokulipwa hata senti ya pesa aliyokuwa akimdai mwanadada huyo baada ya kumwandikia ngoma yake ya Teeth mwaka 2009 katika EP  ya The Fame Monster

Teddy, 46, alisema aliahidiwa 25%  kama ada ya uandishi wa ngoma hiyo lakini hakuambulia chochote hivo akataka alipwe $500 000

Fame Monster EP iliachiwa baada ya albam ya The Fame na kabla ya albam ya pili  ya Born This Way, ilimpa umarufu zaidi Lady Gaga miongoni mwa wasanii wa muziki wa pop.EP hiyo imejumuisha nyimbo nyingine kama Telephone, Bad Romance na Alejandro

2013 alipata shavu la kuperform katika show mbalimbali ikiwemo katika finali za The Voice Season 5
-Alizindua gauni linalopaa

CHRIS BROWN
5May alisherhekea siku yake ya kuzaliwa .Mwaka huu amegobana na Msanii Drake ,Frank Ocean.Chris Brown alimtukana Miss Russia kwa kumuita Malaya.Mwanadada huyo Olga Gure-Kovalenko alihusishwa katika ajali ya gari na Chris Brown's,Chris aLIfunguliwa file mbili za mashtaka. pamoja na kusabisha ajali alishtakiwa kwa kuwa na license fake na kutoa insurance iliyokwisha muda wake . 
 
Hivi karibuni alipelekwa rehab kwa sababu ya kusongwa na tatizo la hasira

LONG WALK TO FREEDOM -MOVIE
Waigizaji wa filamu ya 'A long Walk to Fame' inayoonesha maisha halisi ya raisi wa kwanza mweusi wa Afrika ya kusini,mwanaharakati na mpinga ubaguzi wa rangi Nelson Mandela walitembelea Afrika ya kusini kwa lengo la kuitangaza zaidi filamu hiyo
Wasanii hao Idris Alba na Naomi Harris walifanya ziara tarehe 2 mwezi 11 na kuzungumza na waandishi wa habari katika taasisi ya Nelson Mandela Foundation na baada ya hapo walikutana na shabiki zao

Filamu hii imeelezea maisha ya mandela tangu akiwa mdogo katika sehemu inaitwa Kunu,kupelekwa jela katika kisiwa cha Robben hadi mapambano yake dhidi ya ubaguzi wa rangi na ushindi
50 CENT
  
50 Cent alisema hatishiki na albam ya Magna Carta Holy Grail ya Jay-Z,asema hana papara ya kuachia albam mpya
alisema hatoachia albam(STUDIO ALBAM) yake pasipo mipango ya kueleweka.inakaribia miaka minne tangu  raisi huyo wa G-Unit alipoachia LP albam yake ambapo kwa sasa makali huyo anaonekana kutokuwa na haraka ya kuachia albam nyingine

Fifty alisema hataki kukimbilia pesa ila antaka albam yake iwe sawa.Inaoneka kampuni anayofanya nayo kazi ya Interscope ina mambo mengi na mabadiliko mengi ya kufanya so hataki kupush sana kuachia albam ila anasubiri kampuni hiyo itakapo kuwa tayari maana kwa sasa kuna watu kibao wanaofanya kazi na kampuni hiyo

Hii haimanishi kwamba 50 Cent amekaa kimya hapana, cuz ameachia nyimbo kibao ambazo zimeendelea kumuweka kwenye  ramani ya muziki mwaka 2013 hadi sasa baada ya albam yake ya Before I Self Destruct ya November 2009, ameshaachia mixtape mbili Big 10, The Lost Tape na 5 (Murder by Numbers)na single kibao ikiwemo New day, "My Life",, 
JUSTINE TIMBERLAKE
-Aliachia albam ya 20/20 experience part one na part 20 na video yake ya mirror kupewa tuzo ya video bora mwaka 2013 katika tuzo za mtv vma

-Justine Timberlake akubalika pi kuwa Rais wa Marekani:

Kwa mujibu wa Public Policy Polling(PPP) utafiti uliofanyika nchini Marekani ambapo wadau walitoa maoni yao kama rais wa marekani angekuwa mwanamuziki je nani angefaa kuwa rais wan nchi hiyo?
Miongoni mwa wasanii wote waliopigiwa kura JT alipata asilimia 34,Adele alipata asilimia 19 na Beyonce asilimia 14. Lakini imeonekana wamarekani hawamtaki kabisa Justine Bierber,katika wapiga kura 571 alikuwa ni msanii pekee aliyepigwa na Democrats (54%),Republicans(56) na Independents(56%). 

Hata hivyo hakuwa pekee yake ,miongoni mwa wanaoonekana kutokupendwa na wengine wasiokubalika ni Chris Brown,Lady Gaga,Jay-Z na Rihanna.

LILY WAYNE

Rapa wa kundi la YMCB Lily Wayne alimvisha pete aliekuwa girlfriend wake muitaliano Dhea Sodano MWEZI MAY baada ya kuwa katika mahusiano kwa kwa muda wa miaka miwili

 

-Lily Wayne ameahilisha kustaafu muziki mwaka huu.Mapema mwaka huu Lily Wayne alitangaza kuachana na muziki baada ya kuachia albam yake ya The Carter V na baadae kuahilisha baada ya kuja na project nyingine za muziki
Wayne alithibitisha kupanga kuachia albam itakayoitwa DEVOL akishirikiana na Drake na Birdman na nyingine ya Like father like son 2 akishirikiana na Birdman. Project ya kwanza kama hiyo iliachiwa mwaka 2006 ambayo iliongozwa na single ya "Stuntin' Like My Daddy,".
TUZO
 -MTV VMA- Waliopanda jukwaani  Lady Gaga, Katy Perry, Justin Timberlake, Kanye West, Robin Thicke, Macklemore & Ryan Lewis, Miley Cyrus, Drake and Bruno Mars
-MTV EMA,BILLBOARD-Feb,BET- June,Grammy-Feb 10
ITUNES TOP 10 BEST-SELLING ALBUMS 2013
 Kwa mujibu wa mtandao wa freep.com
  1. The 20/20 Experience- Justin Timberlake
  2. Beyoncé- Beyoncé
  3. Night Visions- Imagine Dragons
  4. Magna Carta… Holy Grail- Jay-Z
  5. Nothing Was the Same- Drake
  6. The Heist (Deluxe Edition)- Macklemore & Ryan Lewis
  7. Pitch Perfect (Original Motion Picture Soundtrack)- Various Artists
  8. Babel (Deluxe Editon)- Mumford & Sons
  9. The Marshall Mathers LP2- Eminem
  10. Random Access Memories- Daft Punk
VYANZO:MTV,BILLBOARD,CHANNEL 24,NATIVEBASE BLOG,CG FM RADIO-URBAN TOP 10

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj...