Def Jam Records imeanza mwaka 2014 vibaya kwani baada tu ya msanii wao
Young Jeezy kukamatwa kwa kosa la kumtesa mtoto wake,rapa The-Dream
naye ametangaza kuachana na lebal hiyo.
Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika kuachana na lebal hiyo siku
ya jana.
The-Dream aliingia mkataba na Def Jam Records tangu mwaka 2007 na
ameshafanya project 5 ila cha kushangaza ametaja albam yake yake ya
mwaka 2010 ‘Love king” kwamba haikuwa sawa na hakukamilika.tunafuatilia
zaidi kujua nini hasa kimepelekea jamaa kujitoa katika lebal hiyo
Comments