Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni
Hili ni eneo ambapo magari yaliyobeba takataka yatakua yanaingia na kumwanga taka taka hizo
Mwonekano wa Karibu wa ndani wa Dampo hilo la kisasa Jijini Mbeya
Hii
ni Chemba pekee ambayo ni maalum kwa ajili ya kupitishia takataka zenye
kimiminika, pia kupitishia takataka ambazo zitakuwa zimesagwa na
kupelekwa katika Bwawa maalum litakalo tumika kutengenezea umeme pamoja
na mabaki mengine ya takataka yatatumika kutengenezea mbolea (P.T)
Hapa Ndipo Takataka hizo zitakuwa zikitelemkia .Chanzo ni http://www.mjengwablog.com
Comments