Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye
tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa
sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia
wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi
akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito sasa
anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio
mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya
shangazi na babu na branket la bibi.Mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi
sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo
kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja
na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema
kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa
njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani sasa
ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na
pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa
kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa
nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda
kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri
ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25.
Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Comments