Boti ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro ikitokea Pemba asubuhi ya
leo ikiwa na abiria karibu 320 imepata misukosuko ya hali ya upepo na
mawimbi na kusababisha baadhi ya abiria waliokuwa wamekaa sehemu ya
abiria ya mbele ya boti hiyo na kutumbukia baharini, kutoka na upepo
huo.
Ajali hiyo imetokea katika mkondo wa nungwi na baadhi ya abiria wa boti
hiyo kuingia baharini kutokana na mawimbi na upepouliokuwa ukivuma
katika majira ya asubuhi ya leo na hali ya bahari kuchafuka.
ikiwa katika safari zake za kawaidi ikitokea Pemba na kuelekea Unguja ilipata dosari kutokana na upepo na mawimbi katika maeneo ya Nungwi.
Juhudi za Wananchi na Vyombo husika kuchukua juhudi za uokoaji wa abiria hao na kufanikiwa kuwapata Wananchi watatu wakiwa hai na miili ya watu 5 kupatikana mpaka sasa.
.
Mpaka sasa kwa taarifa iliopatika jumla ya abiria 4 wameokolewa na kupatikana maiti 5,na zoezi la uokowaji linaendele kufanyika katika eneo la tukio la bahari ya Nungwi.
Maiti lzilizopatika katika zoezi hili ni 5, na mbili ni za Wanawake na tatu za Wanaume, na zoezi hilo limesitisha hadi kesho.asubuhi.
Leo katika majira ya asubuhi hali ya bahari ilikuwa na mawimbi na upepo mkali.
Chanzo: ZanziNews

Comments