Taswira Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akagua athari za mafuriko yaliyokikumba kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko yaliyokikumba kijiji
cha Chipogoro wilayani Mpwapwa Januari 17, 2014. Kulia kwake ni Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mpwapwa, Gregory Tewu na
kushoto kwa ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa,, Alfred Msovella.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sehemu ya jengo la Kituo cha Polisi cha
kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa ambayo imeporomoka kufuatia
mafuriko yaliyokikumba kijiji hicho kufuatia mvua kubwa zianazoendelea
kunyesha mkoani Dodoma januari 17, 2014. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa
wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akikagua daraja ambalo lilizibwa na maporomoko ya
maji yaliyoambatana na magogo , mawe na udongo na kusababisha mafuriko
katika kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa januari 17,20134.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko yaliyokikumba kijiji
cha Chipogoro wilayani Mpwapwa Januari 17, 2014. Kulia kwake ni Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mpwapwa, Gregory Tewu na
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua
athari za mafuriko katika kijiji cha Fufu wilayani Chamwino, Dodoma,
Januari 17, 2014.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema nchimbi na
kulia kwake ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde.Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu
Comments