Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ally Mohammed Shein kwa makubaliano na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete wametangaza jana kuwa Leo (jumatatu 13jan2014) kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kama
sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments