KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbroad
Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri
wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni
Pamoja Daima.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments