Skip to main content

Msanii nyota toka East Coast Team 'Buff G' asema ndo kundi la kwanza la muziki Tanzania kupanda ndege,afunguka mengi ndani ya 'Maswali 10' sikiliza hapa

Msanii mkongwe kutoka kundi la East Coast Team,Buff Gzinga amefunguka juu ya kundi hilo kuwa ndo kundi la kwanza la  muziki Tanzania kupanda ndege na kufanya show Africa ya kusini. 
Amefunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Ibrahim Haruna katika Maswali 10 ndani ya kipindi cha FDT kinachorushwa na CG FM Radio-Tabora.Msanii huyo ameongea mengi pia pia kuhusu familia yake,kupotea kwake katika game na kurudi upya kwa kundi la East Coast.

Comments