Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2012

Same Ol’ Song: What Happened to Hip-Hop Radio?

by TRUTH Minista Paul Scott   No Comments             Rate This Share with Shortlink: Image above found at faunanocturna.net. “All around the world/ same song…” -”Same Song”, Digital Underground When invaders take over a country, the first thing that they do is seize the radio station. So, when a group of terrorists tried to take over the ‘hood, of course, their first target was 99.9FM The Heat. As soon as they bum-rushed the lobby, they tied up the news director. Next they destroyed all the old school Hip-Hop to leave no trace of a once great culture. And finally, as a form of torture, they played the same wack rap song over and over again for 24 hours straight. Unfortunately for them, their hostile takeover was an epic fail because the loyal listeners of The Heat couldn’t tell the difference… Rap music has always had a strange relationship with commercial radio.

Picha Za Tukio La Chadema Na Sabodo

MFANYABIASHARA maarufu na Kada wa CCM, Mzee Mustafa Jaffer Sabodo akikabidhi hundi ya sh. milioni 10 kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa jana nyumbani kwa mfanyabiashara huyo, Upanga, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa CHADEMA, Antony Komu. Fedha hizo ilikuwa sehemu ya mchango mwingine wa Mzee Sabodo pamoja na ahadi kwa ajili ya kusaidia shughuli za chama hicho kuendelea kufanya kazi zake za kuimarisha na kueneza mtandao wake, ngazi za mitaa na vitongoji nchi nzima.Inatoka kwa Mjengwa.

Soma Jambo Leo

CCM Yawatosa Vigogo Watuhumiwa Wa Ufisadi

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC), imewapongeza mawaziri kwa kuchukua hatua dhidi ya watendaji wanaotuhumiwa kwa vitendo vya matumizi mabaya ya ofisi za umma wakiwamo wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kuwataka waendelee na kasi hiyohiyo. Pongezi hizo za Kamati Kuu zimetolewa baada ya kikao chake kilichofanyika Ijumaa iliyopita na zimekuja baada mawaziri kadhaa kuwachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya watendaji walio chini ya wizara zao kwa tuhuma mbalimbali. Mawaziri waliowachukulia hatua watendaji ni pamoja na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda. Juzi, Kamati Kuu iliipongeza Serikali kwa kutekeleza maagizo yake ya kutaka ichukue hatua dhidi ya watendaji waliohusishwa katika ubadhilifu katika mashirika ya umma. “Kamati

TUTAKUKUMBUKA DAIMA STEVEN KANUMBA

Stori: Hamida Hassan MSIBA wa aliyekuwa staa wa muvi za Kibongo, Steven Kanumba umeanza upya kwenye Kijiji cha Izigo, Muleba, Kagera baada ya mama mzazi wa marehemu, Flora Mtegoa kuupeleka msiba huo huko sanjari na mchanga wa kaburi la Dar. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, mama wa Kanumba alisema tangu kifo cha mwanaye hakuwahi kupeleka msiba kijijini kwake kama mila na desturi zinavyotaka. Aliongeza kuwa hiyo yote ilitokana na kukosa muda kwani licha ya mazishi, bado watu mbalimbali kutoka nje na ndani ya nchi walikuwa wakiendelea kumiminika nyumbani kwake kwa lengo la kumfariji. Alisema kuwa alipofika Kagera, alipokelewa na umati wa waombolezaji na msiba ulianza upya, jambo ambalo hakulitarajia. “Nilipofika kijijini nilipokelewa na ndugu, jamaa na marafiki, kwa kweli msiba ulianza upya. Sikutarajia, watu walilia na kuomboleza,” alisema mama Kanumba. Akaongeza: “Kwa kweli kutokana na hali ilivyokuwa, hata mimi mwenyewe nilijikuta nalia sana. Nilihisi siku hiyo ndiyo mwan

Mariah Carey Inks New OPI Deal

    By xXNelXx | Published: August 18, 2012 Mariah’s new management is hitting all the right notes with her career from becoming a new judge on American Idol to new music and merchandise. That includes the deal with nail giant OPI whose previous partnerships include ‘Katy Perry, Nicki Minaj and the Kardashian’s ‘. I’m betting the collection will include Mimi’s signature colour ‘Pink yet Lavender’ and Gold.

Watuhumiwa Sita wa Alqaeda washikiriwa na polosi Yemen

    Baadhi ya wapiganaji wa kundi la kiislamu la Al Qaeda nchini Yemen AFP Na Martha Saranga Amini Jeshi la usalama nchini Yemen linawashikilia watuhumiwa sita wa kundi la alqaeda akiwemo imamu wa msikiti katika mji wa kusini wa Aden baada ya kuwepo mashambulizi yaliyopoteza maisha ya askari kumi na tisa hivi karibuni. Wana usalama hao walifanikiwa kuivamia nyumba moja mjini Aden na kuwakamata watuhumiwa watatu na imam wa msikiti akitiwa nguvuni baada ya kukutwa nyumbani kwake. Wakielezea kwa masharti ya kutotaja majina wanausalama hao wamesema watuhumiwa wengine wawili walikamatwa mapema alhamisi na zoezi la kuapambana na kundi hilo litakuwa endelevu kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni katika makao makuu ya usalama nchini huyo yaliyoua askari kumi na tisa. Kufuatia hali hiyo jeshi la usalama nchini humo limeongeza vituo vipya sita katika jiji hilo ili kuhakikisha usalama unakuwepo.

Afrika ya KUsini na Mkuu wa sera EU Catherine Ashton Kuzijadili Iran na Zimbabwe

  Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya EU,Catherine Ashton AFP Na Martha Saranga Amini   Mkuu wa sera za kimataifa katika umoja wa ulaya Catherine Ashton na waziri wa mambo ya kigeni wa Afrika ya kusini Maite Nkoana-Mashabane walifanya mazungumzo juu ya vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nchi ya Iran na Zimbabwe. Mazungumzo hayo yalikuwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya uliopangwa kufanyikia mjini Brussels nchini Ubelgiji tarehe 18 mwezi ujao ambapo raisi Jacob Zuma anatarajiwa kuhudhuria. Waziri Mashabane alisema kuwa kuhusiana na vikwazo vya mafuta kwa Iran wamekubaliana kumtuma mjumbe kutoka Afrika kusini mjini Brussels kujadili matokeo ya vikwazo vya EU kwa Iran,na nchi nyingine za ukanda wa kusini mwa Afrika.

SINTAH THE UNSTOPABLE’ AONGELEA SABABU YA KUTUMIA JINA LA ‘JLO’ KWENYE MUVI YAKE MPYA…!!

                          WADAU wengi wa tasnia ya filamu bongo wameanza kuingiwa na shaka kubwa, baada ya msanii wa filamu Christine John ‘Sintah’ , kutumia jina la msanii wa Marekani Jennifer Lopez aka JLO , kwenye filamu yake na kazi hiyo inakwenda kwa jina la ‘The Return Of JLO’ . Mtandao mmoja , ulifanya mazungumzo na wadau kadhaa wa tasnia hiyo na wote walionekana kuwa na mawazo tofauti kuwa wanshindwa kuelewa ni kitu gani kilimfanya hadi mwanadada huyo kutumia jina mtu bila idhini yake. Mwandishi alimtafuta ‘Sintah’, ili aweze kuwajibu wadau hao, katika kujibu kwake alidai kuwa ameamua kutumia jina hilo kwani huo ndiyo wakati wake yenye kwani anakuja kwa kishindo kikubwa katika tasnia cha filamu hivyo mashabiki wake waondoe shaka juu ya hilo. Hata hivyo aliongeza kuwa sababu kutumia jina hilo kingine ni kwamba anampenda sana mwanadada huyo na haoni kama inaweza kuleta matatizo ingawa ni kweli hakuzugumza naye juu ya hi

Dk Shein asisitiza wananchi kushiriki Sensa ya watu na makaazi

Na Rajab Mkasasba, Ikulu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuwa matokeo ya sensa ndio yanayoipa Serikali taarifa halisi na ya kitaalamu juu ya idadi ya watu na taarifa nyengine muhimu katika kutayarisha mipango ya maendeleo. Matokeo yake hutumika kutayarisha mipango ya maendeleo Dk. Shein aliyasema hayo katika taarifa yake aliyoitoa kupitia vyombo vya habari kwa wananchi kuhusu umuhimu wa wananchi katika kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa ya watu na makaazi itakayofanyika tarehe 26 Agosti, mwaka huu. Kwa matiki hiyo, Dk. Shein alieleza kuwa kujua idadi ya watu katika eneo fulani kunaiwezesha Serikali kukadiria mahitaji ya huduma kwa wakaazi wake ambapo kinyume chake ni kutoa huduma pungufu kwa vile hakuna takwimu sahihi ya wakaazi hao. Dk. Shein alisema kuwa si jambo la kufurahisha kusikia kuwa baadhi ya watu ambao wanawashawishi watu wengie wasishiriki katika zoezi hilo m

Gazeti la Mwananchi: Zitto: Kiama walioficha mabilioni Uswisi

ASEMA ATAFANYA HIVYO BUNGE LA OKTOBA KAMA SERIKALI ITASHINDWA, MABILIONI HAYO YAHUSISHWA NA UFISADI WA MEREMETA Mhe. Zitto Kabwe Waandishi Wetu MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ameahidi kuwataja wanaohusika kuficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi katika kikao kijacho cha Bunge Oktoba, mwaka huu iwapo Serikali itashindwa kufanya hivyo hadi muda huo. Wakati Zitto akisema hayo, kashfa hiyo imechukua sura mpya na sasa fedha hizo zinahusishwa na ufisadi katika Kampuni ya Meremeta. Kauli ya Zitto ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, imekuja siku chache tangu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta kuwataka wanaowafahamu walioficha fedha hizo kuwataja hadharani ili iwe rahisi kwa Serikali kuwachukulia hatua. Hata hivyo, Zitto akizungumza na gazeti hili jana alisema: “Mimi ni mbunge makini ninayefahamu taratibu za Bunge na kuheshimu haki za watu wengine, siwezi kukurupuka katika suala hili. Ninaiachia

JK AMWITA DIAMOND IKULU

  Stori: Sifael Paul RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na kumpa jukumu maalum, Ijumaa linairusha hewani. Kwa mujibu wa Diamond, juzikati ‘prezidenti’ alimwita ikulu Magogoni, Dar es Salaam na kumpa shavu la kwenda kufanya shoo kwenye mkutano maalum utakaofanyika Washington DC nchini Marekani hivi karibuni. “Yaa, rais aliniita akaniambia kuna shoo natakiwa kwenda kufanya Marekani. “Kwa mara ya kwanza nitasafiri nje ya nchi na madensa wangu wanne na msemaji mmoja. Sasa hivi hawataki kutembea na kupanda magari wasije wakakosa hiyo safari,” alisema Diamond na kuongeza kuwa baada ya kuumwa, mawazo aliyaweka kwenye mchongo huo hivyo mambo mengine yataendelea ikiwa ni pamoja na kufanya kolabo na mwanamuziki wa kimataifa wa Nigeria, J. Martins.

Miss East Africa Belgium 2012

Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake. Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012

PAPAA MSOFE MGONJWA GEREZANI

Stori: Richard Bukos MFANYABIASHARA maarufu jijini Dar es Salaam, Abubakar Marijani ‘Papaa Msofe’ ameripotiwa kuwa na hali mbaya gerezani kufuatia kukabiliwa na maradhi. Taarifa hiyo ilitolewa na Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Mwanaisha Komba wakati akimuomba Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Agnes Mchome, kuahirisha kesi ya mauaji inayomkabili mshitakiwa huyo. Mwendesha mashitaka huyo alisema amepokea hati maalum kutoka Gereza la Keko, Dar anakoshikiliwa Papaa Msofe inayoeleza kuwa hali yake ni mbaya na asingeweza kufika mahakamani hapo. Mwanahabari wetu alizungumza na mwendesha mashitaka huyo kutaka kujua zaidi kinachomsumbua mshitakiwa huyo lakini alisema kuwa taarifa alizopewa kutoka kwa afisa wa gereza hilo ni kwamba mshitakiwa ana hali mbaya hivyo asingeweza kufika mahakamani. Mwanahabari wetu alizungumza na mmoja wa maofisa wa gereza hilo ambaye alidai matatizo yanayomkabili mshitakiwa ni mchafuko wa hali

Soma Mwananchi la Leo

DC Geita Ahamasisha Sensa, Na Kuupokea Mwenge wa Uhuru

MKUU wa Wilaya ya Geita, Omari Manzie Mangochie amewaasa wananchi wa jimbo hilo kutoa ushirikiano kwa makalani wa sensa, iliyoanza usiku wa mkia leo nchini kote. Akizungumza kwa njia ya simu , Mangochie alisema kuwa, tayari maofisa mbalimbali wa Sensa wamejipanga kutekeleza majukumu yao ndani ya Wilaya hiyo na kutaka ushirikiano wa kutosha huku akiwaasa kuachana na vitendo vya kuchanganya mambo ya siasa, dini na mambo ya msingi. “Tunaomba ushirikiano wa kutosha kwa wananchi wa Geita ilikuwasaidia makalani wa sensa watakaopita sehemu mbalimbali na kupata maelezo ya kila mwananchi, na pia suala hili si la siasa wala dini ni la maendeleo yetu sote” alisema Mangochie. Mangochie pia alisema kuwa Wilaya yake inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru ambao utazindua miradi 15, itakayogharimu kiasi cha Milioni 836. “Tunatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru kesho na utazunguka Wilayani na kuzindua miradi ya 15, yenye thamani ya zaidi ya milioni 836, hii piautakua hamasa kwa zoezi

Mkutano Wa Chadema Reading Kesho Jumapili, Wasomi Wajipanga Kumwaga Cheche.

Misa Ya Ubatizo

  Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Anuarite,Makuburi   Padre Joseph Mapunda Akiwapaka watoto mafuta ya kupunga pepo katika vifua vyao (ya wakatekumeni)   Wazazi na wasimamizi (wazazi wa ubatizo) wakiwa na watoto na kukiri imani kwa niaba ya watoto wanaobatizwa   Kulia ni jengo la shule ya sekondari inayomilikiwa na Kanisa Katoliki parokia ya Makuburi Jengo la ofisi za parokia Ubatizo ni sakramenti inayotuondolea dhambi ya asili na kutufanya watoto wa Mungu na Kanisa.Leo makuburi mama kanisa amejipatia kwa njia ya ubatizo watoto wengi wa ufalme.Inatoka kwa Mjengwa.

Mkutano Wa Tisa Wa Sullivan Wamalizika Jijini Malabo, Equatorial Guinea

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini   wakifuatilia kwa pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan iliyotolewa na Rais wa Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo jijini Malabo, Equatorial Guinea.                                          Picha na Pascal Shelutete

Militant Minded: Is Edutainment Still Needed?

by TRUTH Minista Paul    “They schools don’t educate/ All they teach the people is lies” – “They Schools”, Dead Prez It was a typical day in Mrs. Lefkowitz’s world history class. And, as usual, no one was paying attention. Of course, she didn’t mind as long as she was collecting a paycheck. So while the gangstas were fightin’ in the back of the classroom, and the kids on the front row were snoring like barn animals, she just kept on repeating the same lesson about the wonders of Greek civilization that she had been teaching for 20 years. That was until Tyrone Johnson, who had been listening to some ol school BDP on his iPhone, yelled out “in a school that’s ebony/ African history should be pumped up steadily!“ Although his classmates gave him a standing ovation, the otherwise mild-mannered Mrs. Leftkowitz became enraged, called for security, and had Tyrone thrown in jail for inciting a riot… Since the creation of this country

Arab-Americans organize ahead of 2012 elections

One of the biggest challenges facing Arab-American community organizers this election season is ensuring voters don’t feel disenfranchised. (Reuters) By THE ASSOCIATED PRESS.WASHINGTON Arab-Americans make up a small part of the American electorate, but they are fired up and organizing, hoping to make an impact in the 2012 elections. Community organizers face obstacles like cultural divisions and a sheer lack of numbers, but some think Arab-Americans could be an influential voting bloc, especially on the local level. High concentrations in states where the contest between President Barack Obama and Republican candidate Mitt Romney is expected to be tight means Arab-American voters “are going to be important this election cycle,” said Emily Manna, head of the Arab-American Institute’s “Yalla Vote,” or “Let’s Go Vote,” initiative. Yalla Vote organizes voters in the District of Columbia and 10 states, including battlegrounds Florida, Pennsy

President Kagame launches Agaciro Fund

President Kagame today told Rwandans that there is no documented evidence of a nation or people anywhere in the history of the world who progressed by receiving assistance by other people. He said this at the launch of the Agaciro Development Fund and signing of Imihigo (performance contracts) by Mayors, Ambassadors and Ministers. President Kagame launches Agaciro Fund Development- Kigali, 23 August 2012 Before commencing his speech, President Kagame paid homage to the late Meles Zenawi, Prime Minister of Ethiopia, with a moment of silence. President Kagame described Prime Minister Zenawi as an eminent leader who worked for Africa’s progress and said his passing was a loss not only to Ethiopia and Ethiopians, but to the entire continent. Speaking on the significance of the Agaciro Development Fund, President Kagame called on Rwandans to lead the drive for self-sufficiency and draw strength from the injustices experienced to work hard and end dependence:

Hakuna dini inayokataza jamii au nchi kufanya hesabu ya watu wake.

Na Salum Vuai, Maelezo MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, amewataka wananchi wa Zanzibar kupuuza ushawishi wa baadhi ya watu na vikundi, unaowataka wasikubali kuhesabiwa katika sensa ya watu na makaazi inayotarajiwa kuanza Jumapili ijayo. Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Vuga, Mkuu huyo wa Mkoa amesema, sababu za kidini zinazotumiwa na vikundi na watu hao, hazina msingi kwani hakuna dini inayokataza jamii au nchi kufanya hesabu ya watu wake. Mwinyi ameeleza kuwa, zoezi la sensa si kitu cha ajabu kwa Tanzania, kwani nchi zote duniani zinao utaratibu huo unaofanywa kwa lengo la kufahamu takwimu za raia wao ili kujua namna bora ya kujipangia mambo ya maendeleo na mahitaji ya msingi yanayohitajika katika nchi hizo. Aidha alisema, serikali zote mbili za Tanzania na ile ya Zanzibar, hazijaona umuhimu wa kuweka masuala ya kujua dini ya mtu kupitia zoezi hilo, kwani waumini wa dini zote wana mahitaji na haki sawa za kuhudumiwa na seri

Abdallah Bulembo Ajitosa Kuwania Uenyekiti Jumuiya Ya Wazazi Taifa Ya CCM

KATIBU mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa  ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Hamis Suleiman Dadi (kulia) akimkabidhi fomu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa jumuiya hiyo, Abdallah Bulembo Majura ambaye pia ni mdau mkubwa wa michezo nchini. Na: Dina Ismail Bulembo ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara (MRFA) na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), alichukua fomu hizo na kuzirejesha jana hiyohiyo. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hizo, Bulembo alisema kwamba amelazimika kuwania nafasi hiyo ili kuifanyia makubwa jumuiya hiyo kwani ni mwanachama halali wa CCM na mwenye sifa hivyo anawajibu wa kuwania nafasi yoyote inayomfaa kwa lengo la kuendeleza mikakati iliyopo ndani ya jumuiya hiyo. Hata hivyo, Bulembo ambaye katika uchaguzi uliopita aligombea nafasi hiyo na kushika nafasi ya pili nyuma ya Balozi Athuman Juma Mhina ambaye sasa ni marehemu, alisema ataweka wazi mikakati yake pindi atakapo

Operesheni Sangara Ndani Ya Mvomero-Morogoro Yazidi Kupasua Vijiji!

Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi akimkabidhi kadi ya CHADEMA aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Kododo jimbo la Mvomero, bwana Charles Kiwaga. Wengine ni wanachama wapya wa CHADEMA tawi la Kododo Mvomero. Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM kata ya Muhonda akieleza jinsi alivyokunwa na sera za CHADEMA zilizoelezwa na katibu Mkuu wa BAVICHA katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kichangani. Mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Kododo, Charles Kiwaga (kulia) akifafanua kero ya shule ya msingi kododo kwa kayibu mkuu wa Bavicha Deogratias Munishi. Katikati ni mjumbe wa kamati ya maendeleo ya elimu ya shule hiyo. Shule hii ina wanafunzi 652 na mwalimu mmoja tu. Na Mdau Hellen-Morogoro Operesheni Sangara inayoendelea kwa upande wa Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Bwana Deogratias Munishi amezidi naye kupasua vijiji ndani ya Mvomero, Morogoro. Pia wanavijiji walimuonyesha hali halisi ya maend

BBC Idhaa ya Kiswahili yazindua Dira ya Dunia kupitia Star TV nchini Tanzania

Mhariri wa BBC Idhaa ya Kiswahili,Ali Saleh (pili kulia) akizungumza wadau mbalimbali walioweza kufika kwenye hafla fupi ya Uzinduzi kipindi cha Dira ya Dunia kupitia Televishioni ya Star TV hapa nchini,ikiwa ni muendelezo wa kutanua wigo wao kwa wasikilizaji.hafla hii inafanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Harbour View,jijini Dar es Salaam.wengine pichani kutoka Kulia ni Mtangazaji Mahiri wa Dira ya Dunia,Salim Kikeke,Hassan Mhelela na Meneja Mipango na Utafiti wa Sahara Media Group,Nathan Rwehabura.   Meneja Mipango na Utafiti wa Sahara Media Group,Nathan Rwehabura akizungumzia ushirikiano wa Kampini yake na BBC Idhaa ya Kiswahili. Mtangazaji wa BBC Idhaa ya Kiswahili hapa nchini,Hassan Mhelela akizungumza machache wakati wa Uzinduzi huo.Kulia ni Mhariri wa BBC Idhaa ya Kiswahili,Ali Saleh.

GARI LA WOLPER SOKONI

  Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja KUNA madai kwamba ule ‘mkoko’ wa kifahari wa staa wa maigizo Bongo, Jacqueline Wolper aina ya BMW X6 lenye Namba za Usajili T574 BXF linatarajiwa kuingizwa sokoni wakati wowote na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya muda aliopewa nyota huyo kulipia deni lake la kukwepa ushuru wa shilingi milioni 70 kupita bila mwenyewe kusema chochote. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ‘mchuma’ huo ambao ‘umetaitiwa’ na Kampuni ya Udalali ya Majembe ya jijini Dar es Salaam kwenye yadi yao ya Mikocheni, umekuwa ukipata wateja kila kukicha ambao wanakwenda kuulizia siku ya mnada. Chanzo kingine kilisema kuwa mbali na wateja kumiminika yadi ya Majembe, kumekuwa na usumbufu mwingi kwenye ofisi za TRA, Posta jijini Dar ambapo baadhi ya matajiri nao wamekuwa wakilifukuzia gari hilo kwa lengo la kulinunua.

MISS WA LUNDENGA ASHIRIKI SHINDAANO NJE YA NCHI KINYEMELA

  Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo MISS aliyetwaa nafasi ya 2, 2012 katika shindano maalum la mwaka huu, Hamisa Hassan, anadaiwa kuichafua Miss Tanzania kufuatia kwenda kushiriki kinyemela Shindano la Miss University Africa 2012 nchini Nigeria hivi karibuni. Ilidaiwa kuwa ili mrembo ashiriki shindano hilo, linalopokea walimbwende kutoka barani Afrika, lazima atoke kwenye moja ya vyuo vya nchini mwake sifa ambayo Hamisa hakuwa nayo. Ilibidi mapaparazi wetu wamsake Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga ‘Anko’ ili atoe ufafanuzi kuhusu madai hayo hasa ikizingatiwa kuwa, katika shindano maalum la hivi karibuni, Lissa Jensen aliibuka kidedea na Hamisa kushika nafasi ya pili. “Ni kweli Hamisa ni miss wangu, lakini utaratibu wa kwenda Nigeria kushiriki shindano hilo sifahamu aliutoa wapi? Najua hakuna chuo chochote anachosoma kwa sasa na wala hakuna mashindano kama hayo kwangu,” alisema Lundenga. Kwa upande wake, Hamisa alipobanwa ili kutoa maele