Wasanii na wadau wengine waingia Mtaani na kukamata Dvd Feki kibao
Maharamia wapatikana jirani kabisa na Maduka yanayouza kazi halali,
Naibu Waziri Makala asikitishwa na wizi huo wa kazi za wasanii hapa
nchini .. wimbi la wizi wa kazi za wasanii wa filamu limeshamili zaidi
na kukua kila kukicha Kampuni ya Steps Entertainment kwa kushirikiana
na wadau wa filamu kuendesha msako kwa maharamia wanaojinufaisha kwa
kazi za wasanii bila idhini ya wenye mali, mwizi wa kwanza alikamatwa
siku ya Jumanne asubuhi baada ya mtego uliowekwa kumnasa Haramia mkubwa
maeneo ya Kariakoo.asubuhi katika maeneo ya mtaa wa Magila na Likoma
HaramiaBaadi ya wasanii walisikika wakisema “Hawajui shida tunazopata
huko location kila siku tunagombana na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments