M4C LONDON
JE UNAIPENDA TANZANIA?
CHAMA
CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA
WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA
UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA
MHESHIMIWA GODBLESS LEMA
UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA THATCHED HOUSE PUB ILIYOPO BARKING SIKU YA LEO 07/08/2012 AT 20:00 SAA MBILI USIKU.
Kwa mawasiliano
CHRIS LUKOSI +44 7404279633 +44 07903828119
Kwa mawasiliano
CHRIS LUKOSI +44 7404279633 +44 07903828119
Comments