I

Mkurugenzi
Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi (kulia)
akimkabidhi Makamu wa kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani kwa ajili ya mashindano ya BancABC
SUP8R wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano hayo na kuchezeshwa kwa
Droo maalum ya kupanga ratiba kamili ya michuano,uliofanyika jijini Dar
es Salaam.

Uongozi
wa BancABC na TFF wakiwa wameshikira Kombe kuashira Baraka njema na
kutakia mashindano mema ya BancABC SUP8R .Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu
wa TFF, Angetile Hoseah,Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani,Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC
Nchini,Boniphace Nyoni na Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa
Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi.
Comments