Wazanzibari
waishio nje na ambao jamaa zao walipoteza maisha yao na wengine
kuathirika katika msiba wa kuzama boti ya MV Skagit, wameungana pamoja
baada ya huu msiba na sasa wameanzisha blog inayoitwa
ZANZIBAR NI KWETU.
ZANZIBAR NI KWETU.
Wazanzibari
hao wanakusudia kulitumia hili blog ili kutoa maoni yao juu ya hali ya
kila siku ya kisiasa na utamaduni ya huko Zanzibar. Wameona kuwa ipo
haja ya kufanya hivyo kwa pamoja ili sauti yao ipate kusikika sio
Visiwani tu bali hata Tanzania Bara.
Unaweza kuwatembelea na kuweka maoni yako kwenye address hii hapa: zanzibarnikwetu.blogspot.com
Comments