Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana
jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja
wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika
Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial
Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini wakifuatilia
kwa pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan
iliyotolewa na Rais wa Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo
jijini Malabo, Equatorial Guinea.
Picha na Pascal Shelutete
Comments