
Daniel Akuffo (kushoto) na Paschal Ochieng kabla ya kutambulishwa kwa
waandishi wa habari jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'
akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuwatambulisha Ochieng na
Akuffor jana.

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope
akimkabidhi jezi beki wa kimataifa wa Kenya, Paschal Ochieng baada ya
kumtambulisha kwa waandishi wa habari jana

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope
akimkabidhi jezi mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana, Daniel Akuffo mara
baada ya kumtambulisha kwa waandishi wa habari jana.Inatoka kwa mdau.
Comments