Baadhi ya wapiganaji wa kundi la kiislamu la Al Qaeda nchini Yemen
AFP
Wana
usalama hao walifanikiwa kuivamia nyumba moja mjini Aden na kuwakamata
watuhumiwa watatu na imam wa msikiti akitiwa nguvuni baada ya kukutwa
nyumbani kwake.
Wakielezea kwa masharti ya kutotaja majina wanausalama hao wamesema watuhumiwa wengine wawili walikamatwa mapema alhamisi na zoezi la kuapambana na kundi hilo litakuwa endelevu kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni katika makao makuu ya usalama nchini huyo yaliyoua askari kumi na tisa.
Kufuatia hali hiyo jeshi la usalama nchini humo limeongeza vituo vipya sita katika jiji hilo ili kuhakikisha usalama unakuwepo.

Comments