Hii
ni rekodi kutoka kwenye kipindi cha "Weekend Special" cha redio WAPO FM
ambapo Rais wa Jumuiya ya waTanzania waishio katika viytongoji vya
Washington DC (DMV) Bwn. Idd Sandaly amefafanua baadhi ya mambo ambayo
yalizungumzwa na familia ya Marehemu Domitian Rutakyamirwa aliyefariki
na kurejeshwa nyumbani kwa maziko. Maelezo haya ni ufafanuzi wa maelezo
ya kufafanua kutoka katika POST HII ambayo ina kipindi cha awali.
Ungana na mtangazaji Anthony Joseph kuweza kusikiliza ufafanuzi wa Rais na Jumuiya
Karibu usikilize.
Chanzo networkedblogs.com
Comments