Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Anuarite,Makuburi
Padre Joseph Mapunda Akiwapaka watoto mafuta ya kupunga pepo katika vifua vyao (ya wakatekumeni)
Wazazi na wasimamizi (wazazi wa ubatizo) wakiwa na watoto na kukiri imani kwa niaba ya watoto wanaobatizwa
Kulia ni jengo la shule ya sekondari inayomilikiwa na Kanisa Katoliki parokia ya Makuburi
Jengo la ofisi za parokia
Ubatizo ni sakramenti inayotuondolea dhambi ya asili na kutufanya watoto wa Mungu na Kanisa.Leo makuburi mama kanisa amejipatia kwa njia ya ubatizo watoto wengi wa ufalme.Inatoka kwa Mjengwa.
Ubatizo ni sakramenti inayotuondolea dhambi ya asili na kutufanya watoto wa Mungu na Kanisa.Leo makuburi mama kanisa amejipatia kwa njia ya ubatizo watoto wengi wa ufalme.Inatoka kwa Mjengwa.
Comments