Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri
Kaguta Museveni wa Uganda wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa
Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Paul Kagame wa Rwanda(kushoto),Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda(Watatu kulia) na Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wakiwa katika mkutano wa viongozi wan
chi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda jana jioni.Picha
na Freddy Maro-IKULU
Comments