Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2013

Soma matarajio ya Yanga

KLABU ya Yanga inatarajia kuandaa hafla ya kuchangisha michango kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wake mpya wa kisasa maeneo ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. Habari kutoka ndani ya klabu hiyo zimeeleza kuwa, mgeni rasmi katika hafla hiyo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete. Kwa mujibu wa habari hizo, uamuzi wa kuandaa hafla hiyo ulifikiwa katika kikao cha kamati ya utendaji ya klabu hiyo kilichofanyika hivi karibuni mjini Dar es Salaam. "Kamati ya utendaji iliyokutana hivi karibuni ilikubaliana kuandaa hafla kubwa ya kuchangisha mamilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huo,"alisema mmoja wa viongozi wa kamati hiyo, ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini. Mbali ya kuandaa hafla hiyo, kamati hiyo imeshapendekeza ramani ya uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 40,000, ambao ujenzi wake unatarajiwa kugharimu dola milioni 50 za Marekani Chanzo hicho cha habari kilieleza kuwa, uwanja huo ndio chaguo la kwan

Film Production workshop

In a collaborative program with the Goethe Institute, Dar Es Salaam and GIZ the Film Production Workshop will take an innovative approach. The concept for this workshop involves the professional training of a group of up-coming filmmakers through working with a core group of professionals as these make a short film during the festival. The Professionals (Producer, Director, Cameraperson, Editor and Sound person) will work on a script specially written for the workshop and a limited number of participants (10) will assist as the film gets made. Nicholas Stampe,   is the Chief trainer. He will lead the team in a guerilla film-making production style while applying skills learned during the workshop itself. The training will focus on aspects of low-budget film-making involving: Scriptwriting, Pre-production, Production and Post-production. A call is made for participants from around the East Africa region to apply for the workshop. ZIFF will cover acco

JK. AONGOZA HARAMBEEE YA KUCHANGIA JIMBO LA UKONGA

  Rais Dkt. Jakaya Kikwete  akitoa hotuba wakati wa harambee ya kutunisha mfuko wa kuwasaidia wajasiliamali wadogo na wananchi wanaoishi Jimbo la Ukonga kuwainua kimaendeleo. Read more...

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAFANYA USIKU WA MAAFISA MASOKO GOLDEN TULIP.

Mtoa Mada mkuu katika usiku wa Maafisa Masoko ulioandaliwa na ka mpuni ya bia ya Serengeti Breweriers Dk. Wale Akinyemi akuzungumza na maafisa masoko waliohudhuria katika usiku huo unaofanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam, Maafisa Masoko kutoka makampuni mbalimbali wamehudhuria katika usiku huo na kupata uzoefu katika  mada mbalimbali zilizowasilishwa na mtaalam huyo katika usiku wa kuamkia leo. Read more...

Mafanikio yenye mvuto kwa wasanii wa Vichekesho Bongo kutoka kwa WILL SMITH ambaye ni mme wa JADA PINKETT SMITH .

Will Smith ambaye alizaliwa September 25, 1968, ambaye aliwahi kuwa  muigizaji wa kipindi cha The fresh Prince ,akiwa mchekeshaji mbali na fani hiyo alikuwa pia rapper mwenye mvuto maarufu sana nchini marekani. Mnamo mwaka 1992 alimuoa Sheree Zampino walifanikiwa kupata mtoto mmoja Trey Smith ambaye ni mcheza Basket maarufu nchini marekani. Wadau mtakuwa mnajua vema inshu hii kwani jamaa  aliachana na Sheree mnamo mwaka 1995. Na baadaye alifanikiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na na kuhamua kuoana na Jada Pinket mnamo mwaka 1997 na katika ndoa yao wamefanikiwa kupata watoto wawili ambao ni Jaden Smith na Willow Smith ambao nao wanachanja mbuga katika  fani walizorithi kwa wazazi wao. Jaden Smith amezaliwa July 8, 1998 ni mcheza filamu mzuri tuu anayechipukia na filamu alocheza ni ''karate kid'' wadau mnaohusudu fani ya ucheshi , kama utaikumbuka mdau au kama hujaiona itafute . Ni kati ya  sinema nzuri sana akiwa sambamba na Jackie Chan. Willow Smith alizaliwa O

Kenyatta atangaza majina 12 ya Mawaziri

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (kushoto) akiwa na Makamu wa Rais William Ruto wakati wa kutangaza majina ya Mawziri wapya. Orodha ya leo imefanya idadi ya Mawaziri hao walioteuliwa kufikia Mawaziri 16 huku wananchi wakiendelea kusubiri nafasi mbili kwani awali Rais Kenyatta aliutangazi umma kuwa baraza lake la mawaziri litakuwa na watu 18 tu:CHANZO MWANANCHI.

Wabunge CCM ‘washikana uchawi’ Bajeti ya Maji

Dodoma. Saa chache baada ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2013/14 kutupwa na Bunge jana, wabunge wa CCM wameshikana uchawi huku wakitaka kuwatosa wenzao wanaowatuhumu kusababisha kadhia hiyo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (wa pili kushoto), Naibu Waziri wa Maji, Dk Binilith Mahenge (kushoto) na Mbunge wa Musoma Mjini (Chadema), Vicent Nyerere baada kuahirishwa kwa kikao cha Bunge, Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Wabunge wa CCM walikutana katika kikao cha dharura kilichoongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kujadili hatua ya Bunge kukataa bajeti hiyo kwa maelezo kwamba haina suluhisho la kuwaondolea wananchi matatizo ya maji. Kelele za wabunge wa CCM na wale wa upinzani zilimlazimisha Spika wa Bunge, Anne Makinda kuiondoa bungeni na kuitaka Serikali ikajipange upya na kuiwasilisha Jumatatu. Baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge jana mchana, wabunge wa CCM walikutana na habari kutoka nd

Boston Marathon victim puts on a happy face as she talks about deciding to have her foot amputated even though she thought it would be saved

By DAILY MAIL REPORTER One of the most harrowing decisions in the aftermath of the Boston Marathon bombing was made by an injured 39-year-old woman who made the choice to have her foot amputated after two earlier surgeries that she thought would help save the foot. Heather Abbott said that her doctor 'gave me the rundown, as did several other doctors, on the choice I had, and basically it was whether to keep my leg, the rest, my foot actually is where the injury occurred, or to amputate sort of below the knee.' 'And it certainly was a difficult decision, but when I weighed the pros and cons, I think this was the best option for me. WATCH THE VIDEO HERE Happy with her choice: Heather Abbott was all smiles at a press conference on Thursday where she described her multiple surgeries and her brutal decision Read more »

U.S. says ‘chemical weapons were likely used against Syrian rebels’

U.S. Defense Secretary Chuck Hagel first announced the assessment of the U.S. intelligence community that Damascus has used chemical weapons but on a small scale during a visit to Abu Dhabi. (Reuters) Al Arabiya with AFP - The White House said Thursday that Syria had likely used chemical weapons against rebel forces on a “small scale,” but emphasized U.S. spy agencies were still not 100 percent sure, AFP reported. U.S. intelligence services had been investigating reports that Syrian President Bashar al-Assad’s forces had used chemical arms - a move Washington has said would cross a “red line,” triggering possible military action. U.S. Defense Secretary Chuck Hagel first announced the assessment during a visit to Abu Dhabi, saying the “decision to reach this conclusion was made within the past 24 hours.” “Our intelligence community does assess with varying degrees of confidence that the Syrian regime has used chemical weapons on a small scale in

Mshukiwa mmoja wa mashambulizi ya Boston auawa kwa kupigwa risasi

Na Victor Melkizedeck Abuso Polisi mjini Boston nchini Marekani wanasema kuwa mmoja wa washukiwa waliotekeleza mashambulizi ya bomu wakati wa mashindano ya riadha siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine 170 kujeruhiwa ameuawa kwa kupigwa risasi. Hata hivyo, polisi wanasisitiza kuwa mshukiwa mwingine bado anasakwa baada ya kukabiliana na polisi kwa kufwatuliana risasi. Mshukiwa huyo amepoteza maisha akiwa kizuizini baada ya kupigwa risasi na badaye kuzuiliwa mjini Boston. Awali, maafisa wa Ujasusi wa FBI nchini Marekani walitoa picha za washukiwa wawili wanaotuhumiwa kutekeleza mashambulizi hayo wawili . Picha za washukiwa hao zilitolewa kupitia kanda za usalama za CCTV zikionesha wanaume wawili wakiwa wamevaa nguo nyeusi, kofia za mchezo wa baseball na wakiwa na mifuko migongoni. Richard DesLauriers mmoja wa maafisa wa FBI amesema kuwa washukiwa hao ni hatari sana na wananchi wa Marekani hawastahili kuwakaribia. M

Ziara ya Kinana wilaya ya Gairo yaacha wanachama wa CHADEMA taabani

Na Bashir Nkoromo. Tsunami ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mkoani Morogoro imeiacha CHADEMA taaban wilayani Gairo baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Kata ya Mkalama wilayani Gairo Zefania Magiga na wenzake 68 kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa hadhara. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 17, 2013, kwenye Uwanja wa shule ya Msingi, Umoja mjini Kilosa mkoani Morogoro.(Picha na Bashir Nkoromo). Tsunami ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mkoani Morogoro imeiacha CHADEMA taaban wilayani Gairo baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Kata ya Mkalama wilayani Gairo Zefania Magiga na wenzake 68 kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa hadhara. Magiga na wenzake wamekabidhi kadi zao za Chadema kwa Kinana, na kupewa kadi za CCM, baada ya kutangaza kukihama chama chao na kujiunga na CCM kwenye mkutano huo ambao ulifurika mamia ya wananchi, kwenye Uwanja wa shule ya Msingi Gairo B, katika wilaya mpya ya G

U.S. man charged in Obama's letter case said to be troubled

Paul Kevin Curtis, 45, is charged with threatening President Barack Obama and others, according to a Thursday news release from the US department of justice. (AFP) The Associated Press, Mississippi - A man charged with sending ricin-laced letters to the president and other officials was described Thursday as a good father, a quiet neighbor and an entertainer who impersonated Elvis at parties. Other accounts show a man who spiraled into emotional turmoil trying to get attention for his claims of uncovering a conspiracy to sell body parts on the black market. Paul Kevin Curtis, 45, wrote numerous Web posts over the past several years describing the event that he said “changed my life forever”: the chance discovery of body parts and organs wrapped in plastic in small refrigerator at a hospital where he worked as a janitor more than a decade ago. He tried to talk to officials and get the word out online, but he thought he was being railroaded by the go

Kitengo cha kukabili ugaidi kuwasili mitaa ya Mogadishu

Na Adnan Hussein, Mogadishu Serikali ya shirikisho ya Somalia imeunda na kukipa mafunzo kikosi maalumu cha askari kufanya operesheni dhidi ya ugaidi huko Mogadishu na kuzuia mipango ya al-Shabaab ya kulipua mabomu ya kujitoa muhanga kwa siku zijazo. Askari wa Jeshi la Taifa la Somalia wakitembea wakati wa gwaride la jeshi tarehe 14 Aprili huko Mogadishu. Serikali ya shirikisho inaandaa kikosi maalum imara 1,000 waliopewa mafunzo kwa ajili ya operesheni dhidi ya ugaidi kusambazwa katika mji mkuu huo. [Na Stuart Price/AU-UN IST PHOTO/AFP] Serikali inapanga kusambaza kikosi imara 1,000 ifikapo mwishoni mwa Aprili, kitakachojumuisha vikosi kutoka matawi kadhaa ya vikosi vya jeshi na vikosi vya usalama kwa mujibu wa Mohamud Ahmed Hirsi, meneja katika idara ya ugavi na usafirishaji wa watu na vitu wa Jeshi la Ulinzi la Somalia. Kikosi hiki kitabomoa na kuharibu ngome za ugaidi na maficho, kuondoa kabisa operesheni zao na kutegua mabomu, katika jitihada z

Katibu Mkuu kiongozi AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi. Read more...

BI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA

  Breaking News Mwanamuziki gwiji nchini Fatuma Binti Baraka "Bi Kidude" hatunaye tena. Taarifa toka kwa familia yake zinasema Bi Kidude aliekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Hindu Mandal amefariki leo. Bi Kidude atakumbukwa kama mwanamuziki mkongwe zaidi nchini ambaye alianza muziki akiwa na umri wa miaka 10 tu na aliwahi kupokea tuzo mbalimbali kutokana na mchango wake katika muziki wa mahadhi ya mwambao. Hakika sanaa nchini imepoteza moja ya nguzo kubwa. Pumzika kwa amani Fatuma Binti Baraka.

Jojo Jumanne aelezea maisha yake

MPIGA gitaa la bass wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', Jojo Jumanne amefunguka na kutamba kuwa yeye ni mmoja wa wasanii wakongwe nchini, kwani ameanza muziki tangu akiwa kijana mdogo. Jojo ambaye amejipatia umaarufu kupitia kipaji chake cha kupiga gita la bass, amekuwa na kawaida ya kupagawisha mashabiki mara kwa mara kwa kupiga gitaa lake kwa umahiri. "Nina miaka kumi na tatu ndani ya Twanga Pepeta na sijawahi kufikiria kuhama bendi tangu nijikite rasmi na ninaona wanamuziki wanaohamahama, bendi zao hizo ni mbwembwe zao tu," alisema. Jojo alielezea hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni Jumamosi iliyopita ambaye alielezea mafanikio yake ya msingi katika maisha. Alisema moja ya mafanikio yake akiwa na bendi hiyo ni pamoja na kumiliki viwanja vitatu jijini Dar es Salaam, ambapo kimoja anakifyatulia matofali kwa ajili ya ujenzi. Alifafanua pia kuhusu kuchelewa kumiliki nyumba, ambapo alisema huenda k

Uhuru’s agenda to Parliament

Nairobi, Kenya: President Uhuru Kenyatta on Tuesday opened the Eleventh Parliament and outlined the legislative agenda of his government. President Uhuru Kenyatta In his speech to the joint session of the Senate and Parliament, the President said he will form a lean cabinet and streamline agencies to eliminate overlap of duties. His statement came hot on the heels of spirited campaigns by a section of MPs tohave their pay upped. To this endUhuru decried Kenya’s huge wage bill which stands at Sh458 billion equal to half revenue government collects annually and said it must be reduced. President Uhuru warned: “In the current financial year for example the total estimated wage bill is Kshs 458 billion. This wage bill at slightly over 12% of our GDP, is well above the internationally accepted standard of 7% and accounts for almost half of the revenue collected by Government. This is unsustainable and poses a serious threat to the funding of importan

Beiber aendelea kuziba masikio kwa Selena

KWENYE miti hakuna wajenzi! Ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa, kutokana na kitendo cha msanii Justine Beiber, kuendelea kuziba masikio kwa mpenzi wake Selena Gomez. Hivi karibuni, Selena alitoa kibao kipya kinachokwenda kwa jina la Come and Get It, ambacho amemaanisha kuwa njoo na ukichukue. Wimbo huo kwa sasa umetokea kuwa gumzo kutokana na mashairi yaliyopo ndani yake, ambapo msanii huyo bado anaendelea kulilia penzi la Beiber. Katika utoaji tuzo wa MTV Movie, Selena alionekana kuvutia wengi kutokana na jinsi alivyopendeza baada ya kupiga picha, zilisikika kelele za 'Come and get it'.

Chris Brown anasa kwa JLo

AMENESA! Ndiyo kauli rahisi, ambayo unaweza kuitumia baada ya mwanamuziki mkongwe Jennifer Lopez 'JLo', kutoa picha inayomuonesha akiwa na Chris Brown. Picha hiyo imetolewa katika ukurasa wa mtandao wa jamii wa Twitter, ambapo inamuonesha mwanamama huyo akiwa amejilaza begani kwa Brown, huku pembeni yao kukiwa na mtu mwingine. Picha hiyo imezua majadiliano kwa sasa nchini humo kutokana na tabia ya JLo, kupenda kubadili wavulana hasa wale ambao amewazidi umri, huku Brown pia akiwa hajatulia. Lakini Lopez mwenyewe amedai picha hiyo alipiga na Brown anayetamba na wimbo wa Don't Wake Me Up, katika studio ya mtayarishaji Cory Rooney. Pia mtayarishaji huyo ndiye anayeoongoza kwa kutengenezea nyimbo zaidi ya 30 za JLo, kwa sasa bado kumekuwa na maswali kuhusu wawili hao kwamba wapo kwa ajili ya kazi au kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia.

Niva Mkalimo Ipojuu

MSANII anayefanya vyema kwenye tasnia ya filamu nchini Zubeiry Mohamed 'Niva', amesema filamu yake nya Mkalimo inafanya poa anga za filamu. Akizungumza Dar es Salaaam hivi karibuni, Niva alisema kazi zake alizotoa awali ambazo nazo zipo katika kiwango cha juu, zimekuwa zikimbeba katika duru la filamu. Muigizaji huyo, hadi sasa ameshatoa filamu zinazosifiwa na mashabiki hasa ikiwemo filamu ya Gubu la mume, ambayo imegusa hisia za watu.

Mimba si ugonjwa

MTANGAZAJI Kim Kardashian, meibuka katika utoaji wa tuzo za MTV Movie na kudai kuwa mimba si ugonjwa, hivyo bado ana haki ya kufanya lolote. Kauli hiyo ya Kim, imekuja kutokana na tukio lake na kwenda katika tuzo hizo na kufuata ratiba zote kama zilivyopangwa. Ulipofika wakati wa kupiga picha katika zuria jekundu, ndipo mpenzi huyo wa rapa Kanye West alipozungumzia hali hiyo. Kim alifikia huko, baada ya wapiga picha kuonekana kukimbilia sehemu hiyo, hali iliyomfanya kucheka na kusema kwa utani kuwa kuwa na ujauzito si kuwa mgonjwa.

Rais Kikwete Katika Ziara Rasmi Nchini Uholanzi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Serikali ya Uholanzi ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa nchi hiyo Bwana Frans Timmermans jijini The Hague Uholanzi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Malkia Beatrix wa Uholanzi wakati walipomtembelea Malkia huyo katika makazi yake Rasmi jijini The Hague jana.Rais Kikwete yupo nchi Uholanzi kwa Ziara rasmi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi Frans Timmermans akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika makazi rasmi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo jijijini The Hague na kufanya naye mazungumzo rasmi. Read more »

Mkataba ulioleta 'kizazaa' wakamilika

Wakwaza  kutoka kushoto ni Bosco Seti na wakatikani ni Lufingo na  wa mwisho ni Mzee Chillo FILAMU ya Mkataba, ambayo awali iliyosababisha kupotea funguo za gari aina ya Toyota Hiace ya marehemu Steven Kanumba, na kuleta 'kizazaa' tayari imekamilika. Funguo hizo zilipotea wakati mdogo wake Kanumba, Bosket Seti alipokuwa akishiriki katika kurekodi filamu hiyo saa 6 usiku maeneo ya Kiwalani, Dar es Salaam. Ujio wa filamu hiyo ya Mkataba, ambayo ilianza kurekodiwa Februari 18, mwaka huu ilizua kizazaa kwa ndugu wa marehemu Kanumba waliposikia kwamba funguo za gari hilo zimepotea. "Ilikuwa majira ya usiku, tukiwa katika kazi ya uchukuaji wa picha ya filamu ya Mkataba, maeneo ya Kiwalani mara baada ya kumaliza kazi hiyo, Seti alitaka kuondoka ndipo alipogundua kuwa ameangusha fungu hizo. "Tulijaribu kuutafuta ufunguo huo, bila mafanikio hali ambayo ilitulazimu kulala mpaka asubuhi  ndani ya gari hilo ili kulichunga lisije likaibiwa," alisema Lufingo. Alisema ilipof

Video: Size 8 — ‘Mateke’

UJENZI WA BARABARA MAALUM

Mafundi wakiwa kazini katika ujenzi wa Barabara za mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini  Dar es salaam: PICHA NA MJENGWABLOG.

SH 1 BILIONI ZA KUZIKA VIONGOZI ZAWAKERA WABUNGE

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola akichangia mjadala wa Hotuba ya makadirio ya fedha katika Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2013/14 ambapo alitamka kutounga mkono makadirio hayo. Picha na Edwin Mjwahuzi Ni zilizotangazwa kutengwa kupitia Hotuba ya Waziri Mkuu. Dodoma. Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imelaumiwa kwa kutenga Sh1 bilioni kwa ajili ya maziko ya viongozi huku Watanzania wengi wakilia na umaskini mkubwa. Shutuma hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki bungeni kwa nyakati tofauti wabunge akiwamo wa Viti Maalumu Lucy Owenya (Chadema) na Kangi Lugola (Mwibara-CCM) wakati wakichangia hotuba ya makadirio ya bajeti katika Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2013/14. Read more...

Mengi Avionya Vyombo vya habari

MWENYEKITI wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi, amecharuka na kuvionya vyombo vya habari kuacha kutumika kujenga ajenda zinazohatarisha usalama wa raia na kubomoa amani iliyopo. 
Pia amevitaka vyombo hivyo kuacha kutumiwa na wanasiasa mithili ya kondomu na kugeuka kuwa kioo cha wakubwa na wenye fedha badala ya kuwa kioo cha jamii.

Dk. Mengi alitoa onyo hilo jijini Dar es Salaam jana, wakati akifunga mdahalo uliohusu umuhimu wa waandishi wa habari kushiriki kulinda ya amani nchini.

Alisema vyombo vya habari, vinatakiwa kujichunguza kabla ya kuandika na kukuza mambo yanayohatarisha usalama wa nchi.

"Nchi yetu imejaliwa kuwa rasilimali nyingi sana, lakini amani inapotoweka ina hatarisha usalama wa kila mwananchi, hakuna atakayepona, jambo la msingi tuache kulalamika tuchukue hatua.

"Tunapozungumza chanzo cha uvunjifu wa amani kwa mfano suala la

JK: Doors wide open for Dutch investors

By PUDENCIANA TEMBA  President Jakaya Kikwete on Monday held talks with the Netherlands Minister for Foreign Affairs, Mr Frans Timmermans, where he hailed the support of the Dutch government and welcomed investments in various sectors. President Jakaya Kikwete with the Netherlands Minister for Foreign Affairs, Mr Frans Timmermans The President who arrived here on Sunday night for an official visit of the Kingdom of The Netherlands at the invitation of the Dutch government said the two countries have enjoyed good relations, economic cooperation and mutual understanding, calling for further strengthening of the partnership. He welcomed investors in horticulture, particularly in the southern highlands and Zanzibar; in agriculture and manufacturing sectors especially in food processing, textiles, in hide and leather products. He said Tanzania needed capacity building in oil and gas exploration and in improvement of infrastructure at Mtwara and Tanga

Watu 3 wauwawa kwenye mbio za Boston Marathon

Mpaka sasa watu watatu wameshakufa kutokana na mashambulio ya mabomu mawili yaliyoripuka wakati wa mbio ndefu za marathon katika mji wa Boston nchini Marekani Mabomu mawili yaliripuka kwenye mitaa iliyokuwa imejaa watu karibu na sehemu ya kumalizia mbio za marathon. Watu wasiopungua watatu wamekufa kutokana na miripuko ya mabomu hayo yaliyoutikisa mji wa Boston katika jimbo la Marekani la Massachusettes. Jee ni magaidi tena? Watu wengine zaidi ya140 walijeruhiwa katika kadhia ya umwagikaji wa damu. Vioo vilivunjika na sehemu za miili ya binadamu ilitapakaa- hali iliyosababisha wasiwasi kwamba magaidi wameishambulia tena Marekani. Msemaji wa Ikulu ya Marekani ambae hakutaka kutajwa kwa sababu uchunguzi bado unaendelea, ameeleza kuwa mashambulio hayo yanazingatiwa kuwa ni kazi ya magaidi. Akitoa tamko juu ya mashambulio hayo Rais Obama aliepuka kutumia neno gaidi, alieleza kwamba maafisa wa Marekani hawajui ni nani aliyeyatega mabomu hayo na kwa nin

Salva Kirr apunguza mamlaka ya makamu wake

Na Victor Melkizedeck Abuso Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa agizo la kupunguza mamlaka ya naibu wake Riek Machar hatua ambayo huenda ikasababisha machafuko ya kikabila nchini humo. Salva Kiir rais wa Sudan Kusini Hatua hiyo ya rais Kiir inaamanisha kuwa Machar ambaye ni mpiganaji wa zamani wa msituni na anayefahamika kuwa na ushawishi mkubwa ndani ya kabila la Nuer sasa atahusika tu na kazi aliyopangiwa kikatiba nchini humo, lakini haikufahamika wazi ni mamlaka yepi hayo yaliondolewa. Kuanzia siku ya Jumanne, jukumu kubwa la Machar litakuwa ni kumwakilisha rais Kirr wakati anapokuwa nje ya nchi hiyo kuwa mwanachama wa baraza la Mawaziri na baraza la Kitaifa la Usalama. Uamuzi wa rais Kiir pia una maana kuwa hatua za Machar za kujaribu kuweka mipango ya kuliunganisha taifa hilo ambalo limekumbwa na ukabila huenda zikadidimia. Kamati ya uwiano wa kitaifa nchini humo imevunjwa na rais Kiir suala ambalo raia nchini humo wamesema wamesha

Snoop & Ke$ha wavuta sigara jukwaani

MWANAMUZI Snoop Lion na hivi karibuni amewaacha watu midomo wazi kutokana na tukio lake la kupanda jukwaani huku akivuta Sigara. Mbali na msanii huyo pia alikuwa sambamba na msanii mwenzake Kesha ambaye pia aliwasha sigara yake aina ya sorta. Wasanii haoa wawili walifanya tukio hilo wakati wa utoaji wa tuzo za MTV Movie ambapo walipopanda jukwaani walianza na kituko hicho. Hivi karibuni kuekewa na matukio ya kuhusisha wasanii kuvuta sigara au bangi katika kumbi mbalimbali, Rihanna, Beiber na Wiz Khalifa ni kati ya wanaongoza kwa matukio ya mtindo .

Simba Vs Azam Hakunaga Jana

Mpaka mwisho wa mchezo, Simba 2 na Azam 2.

Msome Ray J

NYOTA wa muziki nchni Marekani Ray J , anatarajia kuanzisha vuguvugu kubwa baa ya kuingia studio na kutoka na ngoma itakayoitwa ‘I hit it first’ ambapo kunatetesi kuwa itakuwa imemlenga moja kwa moja Kim Kardashian mpenzi  wa mkali wa Hip Hop Kanye  West. Mtandao mmoja wa kijamii nchini humo,umemuelezea  Ra J ,pamoja na kimwana Kim Kardashian  waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi karibu miaka 10 iliyopita, mpaka kufikia hatua ya kurekodi video ya ngono ambayo baada ya kuachana, Ray J aliitupia kwenye mtandao na kupata faida kubwa kwa kujiingizia mkwanja mrefu tu. Pia mtandao wa TMZ , umemuelezea msanii Ray J kuwa tayari ameanza mipango ya kutengeneza ngoma ya  ya video model ambaye anafanana kabisa na Kardashian.

JK mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia Chuo cha Kiislamu Al- Haramain.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba akimshukuru Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba, KATIBU Mkuu wa Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Suleman Lolila (wa pili kulia), Kadhi Mkuu Sheikh Abdallah Mnyasi (kulia) na Shehe wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad (kushoto) wakio

United States mulls stepped up aid for Syria as G8 meets

Syrian refugees collect aid and rations at the Al Zaatri refugee camp in the Jordanian city of Mafraq, near the border with Syria. (Reuters) Al Arabiya with AFP - U.S. support for the Syrian opposition may be stepped up, a top U.S. official said Wednesday, as Secretary of State John Kerry and G8 ministers were to meet rebel leaders. “The United States every single day thinks about what more we can do to help bring this horrible situation to an end,” the senior U.S. administration official said, according to AFP news agency, asking not to be identified. The aim was to “move to a transition government that reflects the legitimate desires of the people,” the official said. The battle to oust Syrian President Bashar al-Assad is now in its third year, with an estimated 70,000 people said to have been killed and millions forced to flee their homes. Kerry was to meet later with Syrian opposition prime minister Ghassan Hitto and other top coalition m

Cheki Lulu akiwa na Mama Kanumba!

Angalia

Korea Kaskazini kuondowa wafanyakazi wake Kaesong

Korea Kaskazini kuwaondowa wafanyakazi wake 53,000 katika eneo la viwanda la pamoja na Korea Kusini la Kaesong na kusitisha shughuli zote za kibishara katika kituo hicho kutokana na kile ilichokiita uchochezi wa kivita. Kim Yang-Gon afisa mwandamizi wa chama tawala nchini Korea Kaskazini amekaririwa akisema katika taarifa kwamba Korea Kaskazini itawaondowa wafanyakzi wake wote katika kanda hiyo na wakati huo huo kusitisha kwa muda shuguli zinazofanyika hapo na kuangalia iwapo iruhusu kuwepo kwa kituo hicho au ikifungilie mbali. Kim ambaye alitembelea kituo hicho cha viwanda cha Kaesong leo asubuhi amesema wamelazimika kuchukuwa hatua hiyo kutokana na uchochezi wa kivita unaotaka kuifanya Kaesong kuwa mahala pa malumbano kutokana na kuongezeka kwa hali ya wasi wasi wa kijeshi katika Rasi ya Korea.Ameongeza kusema kwamba hali itakavyokuwa huko mbele itategemea mwenendo wa serikali ya Korea Kusini. Wafanyakazi wa Korea Kusini wapigwa marufuku Malori y

Michael Savage on Michelle Obama's Degrading Appearance at Oscar's 2013 .

Iwapo Zanzibar itapata mamlaka yake kamili itaweza kuwa na bandari huru (Maalim Seif )

Na Miza Kona Maelezo Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar ni nchi ya biashara hivyo inataka kujitegemea iweze kupunguza ushuru ili wananchi wapate kununua bidhaa kwa bei nafuu. Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi akiwahutubia wananchi wa Mkwajuni katika mkuto wa hadhara wa chama hicho uliofanyaka katika viwanja vya mpira Mkwajuni, April 06/2013 Kauli hiyo ameitoa huko katika viwanja vya Skuli ya Mkwajuni Wilaya ya kaskazini “A” wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mkoa huo. Amesema iwapo Zanzibar itapata mamlaka yake kamili itaweza kuwa na bandari huru, ushuru na bei za bidha vitapungua. “Zanzibar ni nchi ya biashara tunataka tuwe na bandari huru ili tupate kuweka kodi ndogo na ushuru ukipungua bei za bidhaa zitapungua”alieleza Maalim. Aidha amesema kuwa wananchi wanataka kuwepo kwa bandari na kupungua ushuru ili wapate kuweka bei wanazotaka wenyewe na s

Ray J aawatupiadongo Kim Kardashian na Kanye West kwenye ‘I hit it first’

Ngoma ya  ‘I hit it first’ kazi ambayo moja kwa moja inaaminika kwamba inamuhusu Kim Kardashian na Kanye West.   Ray J Inatambulika kuwa yeye (Ray J) pamoja na Kim K waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi karibu miaka 10 iliyopita, hadi kufikia hatua ya kurekodi video ya ngono ambayo baada ya kuachana, Ray J aliitupia kwenye mtandao na kuuza kupita kiasi. Jamaaa kaenda mbali zaidi   na kutengeneza project cover art ambayo ina picha ya Kim ya zamani ambayo pixel zake zime-twist-iwa kimtindo. .