MWANAMUZI Snoop Lion na hivi karibuni amewaacha watu midomo wazi
kutokana na tukio lake la kupanda jukwaani huku akivuta Sigara.
Mbali na msanii huyo pia alikuwa sambamba na msanii mwenzake Kesha
ambaye pia aliwasha sigara yake aina ya sorta.
Wasanii haoa wawili walifanya tukio hilo wakati wa utoaji wa tuzo za
MTV Movie ambapo walipopanda jukwaani walianza na kituko hicho.
Hivi karibuni kuekewa na matukio ya kuhusisha wasanii kuvuta sigara
au bangi katika kumbi mbalimbali, Rihanna, Beiber na Wiz Khalifa ni
kati ya wanaongoza kwa matukio ya mtindo .
Comments