MWENYEKITI wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi, amecharuka na kuvionya vyombo vya habarikuacha kutumika kujenga ajenda zinazohatarisha usalama wa raia na kubomoa amani iliyopo.
Pia amevitaka vyombo hivyo kuacha kutumiwa na wanasiasa mithili ya kondomu na kugeuka kuwa kioo cha wakubwa na wenye fedha badala ya kuwa kioo cha jamii. Dk. Mengi alitoa onyo hilo jijini Dar es Salaam jana, wakati akifunga mdahalo uliohusu umuhimu wa waandishi wa habari kushiriki kulinda ya amani nchini. Alisema vyombo vya habari, vinatakiwa kujichunguza kabla ya kuandika na kukuza mambo yanayohatarisha usalama wa nchi. "Nchi yetu imejaliwa kuwa rasilimali nyingi sana, lakini amani
Soma zaidi http://mtanzania.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=6713
Comments