MSANII anayefanya vyema kwenye tasnia ya filamu nchini
Zubeiry Mohamed 'Niva', amesema filamu yake nya Mkalimo inafanya poa
anga za filamu.
Akizungumza Dar es Salaaam hivi karibuni, Niva alisema kazi zake alizotoa awali
ambazo nazo zipo katika kiwango cha juu, zimekuwa zikimbeba katika duru la filamu.
Muigizaji huyo, hadi sasa ameshatoa filamu zinazosifiwa na mashabiki hasa
ikiwemo filamu ya Gubu la mume, ambayo imegusa hisia za watu.
Comments