MTANGAZAJI Kim Kardashian, meibuka katika utoaji wa tuzo za MTV Movie na kudai kuwa mimba si ugonjwa, hivyo bado ana haki ya kufanya lolote.
Kauli hiyo ya Kim, imekuja kutokana na tukio lake na kwenda katika tuzo hizo na kufuata ratiba zote kama zilivyopangwa.
Ulipofika wakati wa kupiga picha katika zuria jekundu, ndipo mpenzi huyo wa rapa Kanye West alipozungumzia hali hiyo.
Kim alifikia huko, baada ya wapiga picha kuonekana kukimbilia sehemu hiyo, hali iliyomfanya kucheka na kusema kwa utani
kuwa kuwa na ujauzito si kuwa mgonjwa.
Comments