Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe
Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi
mbili hizi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments