Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP
Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya
kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain
kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam.
Mufti
wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba akimshukuru Mwenyekiti wa
Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni
100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha
Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa
Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba, KATIBU Mkuu wa Baraza la Kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Suleman Lolila (wa pili kulia),
Kadhi Mkuu Sheikh Abdallah Mnyasi (kulia) na Shehe wa Mkoa wa Dar es
salaam Alhaj Alhad (kushoto) wakiomba dua baada ya harambee kusaidia
upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla
iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt.
Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 na Mwenykiti wa
NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia aliyechangia shilingi milioni mbili kwa
ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha
Al-Haramain kwenye harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuwa mgeni rasmi katika harambee
ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain
iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika harambee ya kusaidia upanuzi na
maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain iliyofanyika Jumamosi
usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.(PICHA NA IKULU).
Comments