Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza ujumbe wa Tanzania katika
mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Serikali ya Uholanzi ukiongozwa na Waziri
wa Mambo ya nchi za nje wa nchi hiyo Bwana Frans Timmermans jijini The
Hague Uholanzi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja
na Malkia Beatrix wa Uholanzi wakati walipomtembelea Malkia huyo katika
makazi yake Rasmi jijini The Hague jana.Rais Kikwete yupo nchi Uholanzi
kwa Ziara rasmi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi Frans Timmermans akimkaribisha Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika makazi rasmi ya Waziri Mkuu wa nchi
hiyo jijijini The Hague na kufanya naye mazungumzo rasmi.
Comments