Ngoma ya ‘I hit it first’ kazi ambayo moja
kwa moja inaaminika kwamba inamuhusu Kim Kardashian na Kanye West.
Inatambulika kuwa yeye (Ray J) pamoja na Kim K waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi karibu miaka 10 iliyopita, hadi kufikia hatua ya kurekodi video ya ngono ambayo baada ya kuachana, Ray J aliitupia kwenye mtandao na kuuza kupita kiasi.
Ray J

Jamaaa kaenda mbali zaidi na kutengeneza project cover art ambayo ina picha ya
Kim ya zamani ambayo pixel zake zime-twist-iwa kimtindo. .
Comments