NEW YORK, Marekani
KIM Kardashian amedai kwa sasa anatamani kuzaa na mpenzi wake Rapa Kanye Westi.
Kim akihojiwa hivi karibuni alisema anatamani kuzaa na mpenzi wake tena apate watoto mapacha.
Alisema siku zote amekuwa na ndoto za kuwa na mapacha wa kike na kiume, ambao anaamini ni jambo linalowezekana.
Hali hiyo inaonekana kama anataka kufuata nyayo za swahiba wa mume wake Jay Z ambaye mke wake Beyonce amemzalia mtoto wa kike.
Comments