Skip to main content

MWANA FA AANZA MWAKA VIZURI ANUNUA USAFIRI MPYA



Mwaka 2014 Umeanza vizuri kwa Rapper Mwana FA, Kadondoka Bongo na ride mpya aina ya Toyota Mark X. Picha zimeonekana kwenye Instagram yake na ya msanii mwenzake Jaffarai anaye miliki sehemu ya kuosha Magari [ Jaffarai Car Wash ]. Picha Ziko Hapa


Comments