Arsenal inacheza na Everton iliyopo alama 11 nyuma ya vinara Leicester.
Kikosi cha Arsene Wenger kimetolewa Kombe la FA na Ligi ya Mabingwa.
Everton wana matumaini ya kufanya vizuri kufuatia ushindi wao dhidi ya Chelsea.
Vikosi
Everton XI: Joel; Coleman, Funes Mori, Jagielka, Baines; Besic, McCarthy; Lennon, Cleverley, Barkley; Lukaku
Akiba: Howard, Stones, Kone, Niasse, Deulofeu, Osman, Galloway
Arsenal XI: Ospina; Bellerin, Koscielny, Gabriel, Monreal; Coquelin, Elneny; Iwobi, Ozil, Sanchez; Welbeck
Akiba: Macey, Gibbs, Mertesacker, Chambers, Campbell, Walcott, Giroud
Mechi itaanza saa 09:45 mchana katika Uwanja wa Goodison Park
Comments