Kikosi cha Mauricio Pochettino kitakuwa na nafasi kubwa kutokana na ukweli kwamba mahasimu wao watawakosa Petr Cech na Laurent Koscielny.
Ushindi huo wa nyumbani utawapaisha Spurs juu kwenye msimamo wa ligi huku vinara Leicester City wakisubiria mechi na Watford.
Tottenham iko nyumba alama tatu dhidi ya Leicester City.
Vikosi vya timu hizo ni;
Tottenham XI: Lloris; Walker, Alderweireld, Wimmer, Rose; Dembele, Dier; Lamela, Eriksen, Alli; Kane
Akiba: Vorm, Davies, Trippier, Carroll, Chadli, Mason, Son
Arsenal: Ospina; Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Gibbs; Elneny, Coquelin; Ramsey, Ozil, Sanchez; Welbeck
Akiba: Macey, Chambers, Monreal, Flamini, Campbell, Walcott, Giroud
Comments