Ligi ya
Mabingwa barani Ulaya, iliyochezwa usiku wa jana Jumatano kwenye viwanja
viwili tofauti, ikiwemo uwanja wa Stamford Bridge uliyopo jijini
London na Petrovsky uliopo nchini Urusi .
Jiji la
London, wenyeji Chelsea walikichezea kichapo cha pili mfululizo toka kwa PSG kutoka jijini Paris nchini
Ufaransa kwa kufungwa bao 2-1,
Mchezaji wa PSG, Ibrahimovic
akishangilia bao lake aliloifungia PSG dhidi ya Chelsea usiku wa jana
kufanya matokeo 2-1.
Comments