Skip to main content

Rais wa Zanzibar Dr Amani Abeid Karume Awapatia Zawadi wanafunzi Bora



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akimpa zawadi mwanafunzi Ismail A.Ismail wa SOS aliyepata Point 4,akiwa ni katika wanafunzi bora kwa jumla kidato 6 February mwaka 2010,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.

Comments