TUZO za mwaka zinazotolewa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA , jana zilitolewa katika hotel ya ya New Africa jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mwenyekiti wa barazala michezo nchini Kanal Idd Kipingu , (Pichani) akimkabidhi Mwanaidi Hassan , mwanamichezo bora 2009 ambaye ni mchezaji wa Timu ya Netball ya JKIT Mbweni hafla hiyo ilifanyika usiku, Mwanaid aliwashinda wenzake 11 waliokuwa wakiwania tuzo hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Ltd .
Mgeni rasmi katika tuzo za mwanamichezo bora wa mwaka wa chama cha waandishi wa habariza michezo TASWA ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la michezo nchini Kanali Idd Kipingu akimkabidhi tuzo yake mwanamichezo bora wa mwaka 2009 Mwanaidi Hassan ambaye ni mchezaji wa Timu ya Netball ya JKT Mbweni jana kwenye hafla iliyofanyika katika hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam baada ya kuwashina wenzake 11 waliokuwa wakiwania tuzo hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Ltd.

Comments