Skip to main content

Selikari Imesema Jumla Ajira 1,313, 561 Zimepatikana


MAGRETH KINABO NA BENJAMIN SAWE MAELEZODODOMA.
SERIKALI imesema kwamba jumla ajira 1,313, 561 zimepatikana katika kipindi cha mwaka 2006 hadi kufikia Desemba mwaka 2008 kwa sekta binafsi na Aprili mwaka huu kwenye sekta ya umma, ambapo sekta ya isiyorasmi inaongoza kwa asilimia 81.7 ya ajira zote.
Aidha katika sekta hiyo iliyoongoza wananchi wamejihusisha zaidi kwenye shughuli kama vile biashara ndogondogo na utoaji huduma. Hayo yalisemwa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk. Makongoro Mahanga wakati akijibu swali na Mbunge wa Bumbuli(CCM) William Shellukindo lililouliza kuwa ni maeneo gani ambayo yameongezeka ajira kwa asilimia katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi(CCM).
Akijibu swali hilo , Dk. Mahanga alisema ongezeko la ajira kwenye sekta isiyorasmi kunachangiwa na sababu ya urahisi wa kuanzisha shughuli ndogondogo ambazo zinahitaji mtaji mdogo, urahisi wa upatikanaji wa maligahafi, miradi kumilikiwa na kaya, mahitaji ya teknolojia taaluma na ushindani .
Alisema sekta binafsi inaongoza kwa kutoa ajira 1,185,387 sawa na asilimia 90.2 na Serikali imetoa ajira mpya 128,174 sawa na asilimia (9.8). Dk .Mahanga alizitaja sekta nyingine zilizozalisha ajira mpya ni ujenzi kwa asilimia 9.31 y a ajira zote, ikifuatiwa na elimu asilimia 2.97, afya asilimia 2.89, usafirishaji na mawasiliano asilimia 1.22, huduma za asilimi 0.61. Aliongeza kwamba mchanganuo wa ajira mpya kuhusu kilimo, uvuvi na ufugaji kiasilimia zinatarajiwa kutolewa mara baada ya zoezi la uchambuzi wa sensa ya kilimo iliyofanyika mwaka 2009 kukamilika. Naibu Waziri huyo alisema Serikali inategemea kufanya utafiti kuhusu kuhusu ajira gani zenye mvuto zaidi kwa Watanzania

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...