katibu Katibu wa mchezo wa pool Taifa, Amos Kafwinga akizungumza na waandishi wa habari leo asubui kushoto ni meneja wa bia ya safari lager Fimbo Butallah togocho, Mwenyekiti wa mchezo wa pool,Isaac Togocho kushoto akizungumza na waandishi wa habari kuusu mashindano ya mchezo wa poo yatakayoanza mwezi ujao kulia ni Fimbo Butallah waandishi Baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano uho leo.
MCHEZO WA POOL KITAIFA 2010
Kampuni ya bia Tanzania (TBL)
kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza kwa mara nyingine
udhamini wake katika mashindano ya Taifa ya mchezo wa pool mwaka
2010 mashindano hayo yanatarajia kuanza rasmi tarehe 13 mwezi julai
2010 katika ngazi za mikoa
Akitangaza udhamini uho meneja wa bia hiyo
Fimbo Butallah amesema'Bia ya SAfari Lagel' imekuwa mdhamini mkuu
wa mchezo huu.hivyo ni dhamira ya bia hiyo kuendelea kudhamini
mashindano haya ya taifa na mengine mengi mchezo wa pool hapa
mchini.
Udhamini huu unaanzia ngzi ya mikoa hadi fainal ambazo kwa
mwaka huu zinatarajiwa kufanyika mjini Arusha mwishoni mwa mwezi
Septemba 2010
Meneja huyo wa bia ya Safari aliongeza kuwa udhamini
wa mwaka huu umeongezeka ukulinganisha na miaka ya nyuma.Ikiwa ni
pamoja na ongezeko la mikoa shiriki na zawadi za washindi.Akiweka wazi
aina ya zawadi ambazo washindi wa mwaka huu watapata katika ngazi za
mikoa na taifa.Fimbo Butallah amesema bingwa 500,000 mshindi wa pili
250,000 na wa tatu ataondoka na kitita cha 150,000

Comments