
MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers, Bw. Eric Shigongo, akitoa mada katika mkutano wa Diaspora wa nchini Marekani, uliyofanyika kwa muda wa siku nne kuanzia Julai 1-4 katika ukumbi wa Marriott, Minneapolis, nchini humo, mada mbalimbali zilitolewa na Watanzania waishio nchini na watu wengine wakazi wa nchi hiyo.
Comments