Kevin Twisa akiwa na mwana Hip Hop Kalapina jana usiku muda mfupi kabla ya kuingia Club Billicanas na picha ya pili Kalapina akiwa katika pozzz la blog muda mfupi baada ya kupiganaye stori za 'gemu'.
TAYARI mwana hip hop huyo kutoka pande za Block 41 yumo katika orodha ya wasanii nyota kwenye majukwaa ya Fiesta .
TAYARI mwana hip hop huyo kutoka pande za Block 41 yumo katika orodha ya wasanii nyota kwenye majukwaa ya Fiesta .
Comments