
Bi.Ashura Abeid Faraji ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Zanzibar akimsalimia mwenyekiti wa CCM , Rais Jakaya Mrisho Kikwete nje ya ukumbi wa mikutano wa Kizota wakati wa mkutano mkuu wa CCM unaofanyika mjini Dodoma

MWENYEKITI wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakiteta jambo , wakitoka nje ya ukumbi wa mkutano wa Kizota wakati wa mapumziko mafupi ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa.

WAJUMBE wa mkutano Mkuu wa CCM wakishangilia mara baada tu , ya jina la Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete kupitishwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM jana mchana(picha na Freddy Maro)
Comments