RAIS Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva Ikulu mjini Dodoma jana.
Rais Kikwete aliwaalika wasnii hao chakula cha mchana na kuwashukuru kwa mchango wao wa kuwaburudisha wajumbe wa mkutano mkuu wa 9 wa CCM uliofanyika Dodoma hivi karibuni.
Rais Kikwete ameahidi kufanya juhudi ili wasanii hao waweze kunufaika na kazi zao kwa kudhibiti uuzaji na usambazaji na picha zingine chini ni wasanii mbalimbali walipopiga picha na Mh. Rais Jakaya (Picha na Freddy Maro)

Comments